Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Mzee wako Mohamed said kila siku analalamika waislamu wanaonewa na kunyimwa fulsa tokea kipindi cha nyerereRuvuma na Rukwa hawajakaa wao na hapajaendelea jee tumlaumu nani??
Hii Dar yenyewe maendeleo ya biashara wamehodhi wao kwa 65+%.
Aaaah hilo mie silizingatii na silijui ukina wake ukoje,japo hata wazee wa miaka hiyo waliwahi nieleza kipindi cha Nyerere na Mkapa kilikua kipindi cha Wakatoliki dhidi ya waislam na waislam walinyanyasika sana.Mzee wako Mohamed said kila siku analalamika waislamu wanaonewa na kunyimwa fulsa tokea kipindi cha nyerere
Umenikumbusha siku mingi sana hapo Mkwakwani huku naangalia lango la Isungu Honey pot.Mboka manyema!Mkuu ebu njoo hapa Oxygen then twende tukale monde hapo Terres kwa nje tukitazama geti la Uhazili uone watoto wakareeeee wanavyo kwenda na kurudi...😋
tabora mji mdogo kwa kigezo gani maana ndio manispaa ya kwanza Tanzania mkuu.Utakuwa hujatembea hii nchi au bado una umri mdogo sana.wat did u expect toka mkoa mdogo kama Tabora ulitaka uwe kama Arusha or Mwanza.
Boss wapoo. Hapo mjini kati (chemchem na ubembeni)Kondoa hakuna masalia ya waarabu msitake kutudanganya.
Hiyo Dodoma yote haikuendelea kabla,sasa hivi ndio serikali imejitahidi kidogo kuiendeleza Dodoma kwasababu ni mji wa kiserikali.
Fika vijiji vya Mabala na Kibaigwa uone maisha mabovu ya maskini wa kigogo.
Picha wapi !Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.
Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
😂Huko huwaambii kitu kuhusu CCM
Ni kwa kiasi kidogo sana sio kwa wingi kama Kilwa ama Tanga.Boss wapoo. Hapo mjini kati (chemchem na ubembeni)
Fursa anayodai ni kwanini serikali inakataza kuoa wasichana kuanzia miaka 12 na kuendelea wakati dini inaruhusu.Mzee wako Mohamed said kila siku analalamika waislamu wanaonewa na kunyimwa fulsa tokea kipindi cha nyerere
Hahaha hao nao wanatatizo gani mpaka wasiendelee.Ni kwa kiasi kidogo sana sio kwa wingi kama Kilwa ama Tanga.
Huko hawajalowea kama walivyolowea Tanga na ukanda wa Pwani.
Dodoma bhana makabila yake yote yana mushkir katika maendeleo.
Warangi popote walipo kuendelea ni ngumu as well as wagogo as well as wanyaturu.
Msimuhusishe mwarabu.
Sijui mkuu ila hayo makabila upigaji wao hatua kimaendeleo ni hafifu sana.Hahaha hao nao wanatatizo gani mpaka wasiendelee.
Yes babu yangu alienda fundisha dini huko miaka ya ukoloni .Sijui mkuu ila hayo makabila upigaji wao hatua kimaendeleo ni hafifu sana.
Tembelea Cheyo na KanyenyeNini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.
Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Kuna kijiji kimoja Njombe(kindengyembe njia ya kwenda lupembe) kina maendelo mazuri ukilinganisha na vijiji vingi bongoYes babu yangu alienda fundisha dini huko miaka ya ukoloni .
Nina asili ya huko kwa mama.
Shida kubwa ni moja tu hawapendi uendelee kuwazidi juu chini utachukiwa mpaka ukome.
Sasa mnaendeleaje wakati hamtaki kuvuka mstari wa wengine? Afadhali kubwa iko sasa nimeona vijiji vingi vimepiga hatua hakuna njaa kama zamani.
Nimefika lindi ndo niliposema kama ndio hivi basi Tanzania tuna hali kubwa sana ya umaskini.
Pole Sana,hata huko Dar mjini kabisa kuna myumba za miti na udongo(kariakoo jangwani, mwananyamala manzese NK)Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.
Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Acha uongo na kujishauwa yani ufike tabora usijue mjini niwapi kwa miji hii yatanzania ukiondoa dar mwanza arusha na dodoma mingine ipo sawa tuNini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.
Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.