ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Nimekwambia kawadanganye nyumbu wenzako au mkeo,Mimi naeijua Kila Kona ya Tanzania huwezi kunidanganya elewa hivyo.Huwa sijibu watu waliotoroka mirembe🤣🤣🤣
Kanywe dawa zako it's time
And straight nakuignore bulldog🤧🤯
Khaaaaaaa!.Mie sijawahi kufika huko Mboka manyema kaka, mie ni mnyamwezi wa Ndevelwa,nimekaa kwa muda Ndevelwa,Ipuli Nzega basi.
Na safari zangu nimejaribu kuzunguka mjini Tabora ila kaka sijaona vishawishi vya kunifanya nibaki Tabora.
Toka Tabora nenda mfano Morogoro kesha uniambie wapi patavutia mtu kuanzisha maisha.
Morogoro pana pull factors nyingi kuliko hata DODOMA.
Mtoa mada alikuwa anapayuka tuu Ili kuchangamsha Kijiwe.Tabora imechangamka sana nowdays na maendeleo yanakimbia Kila sikuMkuu ebu njoo hapa Oxygen then twende tukale monde hapo Terres kwa nje tukitazama geti la Uhazili uone watoto wakareeeee wanavyo kwenda na kurudi...😋
Mwisho kutoka huko mie ni 2022 kaka.Khaaaaaaa!.
Huo ni utashi wako mkuu,morogoro,Kilimanjaro,Dodoma,singida,Kagera,mwanza,dar,pwani,shinyanga,Sumbawanga,manyara,Arusha,Tanga.mimi hapo pote nimeishi Kwa nyakati tofauti.Nilichojifunza,maisha Kwa 90% tunafanana.ila kama unataka kuanzisha biashara inatokanq na nguvu yako ya mtaji na aina ya biashara unayohitaj kufanya.
Kiufupi Tabora ya Leo sio ile ya Miaka 10iliyopita.
Nyumba nzuri zipo pembeni,nzuri mnoNini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.
Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Naam,aende uhazili pale nje maduka kibao na vibanda vya chipsMkuu ebu njoo hapa Oxygen then twende tukale monde hapo Terres kwa nje tukitazama geti la Uhazili uone watoto wakareeeee wanavyo kwenda na kurudi...[emoji39]
Unashtaki au ?Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.
Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
"ho" = oniliwahi kufika sememu moja huko singida panaitwa kihomboi nafikiri aisee
Hhhhhhhhhhhhhhh nmechekaMi nlifika shinyanga nikawauliza sehem flan nafikaje wakaniambia kapande daladala zile pale , nikiangalia huko wanaponionyesha daladala sion hata moja hatukuelewana karibu dakika 3 nawauliza tu mbona sion wao wananiambia si hizo hapo
Kumbe daladala kwao ni baiskeli mi nilikua naangalia nikiamini ntaona gari
Lindi kuna maendeleo. Miaka michache iliyopita mwenge wa uhuru ulifanya uzinduzi wa mradi wa maendeleo wa nyumba ya kulala wageni (Guest House)Na lindi itakuaje sasa
Hatareee ...mpeleke Zedigito Mtaa wa Simba kule MpandaMkuu ebu njoo hapa Oxygen then twende tukale monde hapo Terres kwa nje tukitazama geti la Uhazili uone watoto wakareeeee wanavyo kwenda na kurudi...😋
Wenyeji wengi ni wavivu grade one...🤨Wanyamwezi wanaendana na wazaramo life style...wanapenda vitamu vitamu na wanaridhika na hawatakag bugudha at all!
ok"ho" = o
Okey.Hiyo morogoro basi Haina tofauti kubwa na Kagera,au Mbeya katika wilaya na sio Jijini.Mwisho kutoka huko mie ni 2022 kaka.
Ngojea nkutolee mfano wa ulinganisho kati ya Morogoro na Tabora.
-Morogoro kiusalama ni salama kuliko Tabora.
-Morogoro kuna mandhari na hali ya hewa nzuri pamoja na ardhi nzuri kuliko Tabora.
-Morogoro kuna fursa nyingi za utafutaji kuliko Tabora kaka.
Katika utafutaji usitizame biashara tu peke yake.
Tizama na shughuli zingine ndogo ndogo za kipato.