Nimefika Tabora, nawaambia wanipeleke mjini wanasema ndio hapa tulipo!

Nimefika Tabora, nawaambia wanipeleke mjini wanasema ndio hapa tulipo!

Mie sijawahi kufika huko Mboka manyema kaka, mie ni mnyamwezi wa Ndevelwa,nimekaa kwa muda Ndevelwa,Ipuli Nzega basi.
Na safari zangu nimejaribu kuzunguka mjini Tabora ila kaka sijaona vishawishi vya kunifanya nibaki Tabora.
Toka Tabora nenda mfano Morogoro kesha uniambie wapi patavutia mtu kuanzisha maisha.
Morogoro pana pull factors nyingi kuliko hata DODOMA.
Khaaaaaaa!.
Huo ni utashi wako mkuu,morogoro,Kilimanjaro,Dodoma,singida,Kagera,mwanza,dar,pwani,shinyanga,Sumbawanga,manyara,Arusha,Tanga.mimi hapo pote nimeishi Kwa nyakati tofauti.Nilichojifunza,maisha Kwa 90% tunafanana.ila kama unataka kuanzisha biashara inatokanq na nguvu yako ya mtaji na aina ya biashara unayohitaj kufanya.
Kiufupi Tabora ya Leo sio ile ya Miaka 10iliyopita.
 
Mkuu ebu njoo hapa Oxygen then twende tukale monde hapo Terres kwa nje tukitazama geti la Uhazili uone watoto wakareeeee wanavyo kwenda na kurudi...😋
Mtoa mada alikuwa anapayuka tuu Ili kuchangamsha Kijiwe.Tabora imechangamka sana nowdays na maendeleo yanakimbia Kila siku
 
Khaaaaaaa!.
Huo ni utashi wako mkuu,morogoro,Kilimanjaro,Dodoma,singida,Kagera,mwanza,dar,pwani,shinyanga,Sumbawanga,manyara,Arusha,Tanga.mimi hapo pote nimeishi Kwa nyakati tofauti.Nilichojifunza,maisha Kwa 90% tunafanana.ila kama unataka kuanzisha biashara inatokanq na nguvu yako ya mtaji na aina ya biashara unayohitaj kufanya.
Kiufupi Tabora ya Leo sio ile ya Miaka 10iliyopita.
Mwisho kutoka huko mie ni 2022 kaka.
Ngojea nkutolee mfano wa ulinganisho kati ya Morogoro na Tabora.
-Morogoro kiusalama ni salama kuliko Tabora.
-Morogoro kuna mandhari na hali ya hewa nzuri pamoja na ardhi nzuri kuliko Tabora.
-Morogoro kuna fursa nyingi za utafutaji kuliko Tabora kaka.
Katika utafutaji usitizame biashara tu peke yake.
Tizama na shughuli zingine ndogo ndogo za kipato.
 
Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.

Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Nyumba nzuri zipo pembeni,nzuri mno
 
Mkuu ebu njoo hapa Oxygen then twende tukale monde hapo Terres kwa nje tukitazama geti la Uhazili uone watoto wakareeeee wanavyo kwenda na kurudi...[emoji39]
Naam,aende uhazili pale nje maduka kibao na vibanda vya chips
 
Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.

Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Unashtaki au ?
 
Mi nlifika shinyanga nikawauliza sehem flan nafikaje wakaniambia kapande daladala zile pale , nikiangalia huko wanaponionyesha daladala sion hata moja hatukuelewana karibu dakika 3 nawauliza tu mbona sion wao wananiambia si hizo hapo

Kumbe daladala kwao ni baiskeli mi nilikua naangalia nikiamini ntaona gari
Hhhhhhhhhhhhhhh nmecheka
Ila wao washazoea sasa
 
Ukitoka dar kwenda kutembea mikoa mingi ya tz wilaya zake nyingi bado hazina maendeleo aisee sijui tunakwama wapi hata haya majiji wilaya zake nyingi bado hazipo vizuri.
 
Mkuu ebu njoo hapa Oxygen then twende tukale monde hapo Terres kwa nje tukitazama geti la Uhazili uone watoto wakareeeee wanavyo kwenda na kurudi...😋
Hatareee ...mpeleke Zedigito Mtaa wa Simba kule Mpanda
 
Mwisho kutoka huko mie ni 2022 kaka.
Ngojea nkutolee mfano wa ulinganisho kati ya Morogoro na Tabora.
-Morogoro kiusalama ni salama kuliko Tabora.
-Morogoro kuna mandhari na hali ya hewa nzuri pamoja na ardhi nzuri kuliko Tabora.
-Morogoro kuna fursa nyingi za utafutaji kuliko Tabora kaka.
Katika utafutaji usitizame biashara tu peke yake.
Tizama na shughuli zingine ndogo ndogo za kipato.
Okey.Hiyo morogoro basi Haina tofauti kubwa na Kagera,au Mbeya katika wilaya na sio Jijini.
Lakini swala la kusema Tabora Nini kimeikumba,hapo kama inakuwa umeweza kutembelea mikoa mingi basi Tabora itakuwa imesonga mbele kiasi japo si vile wewe ilikuwa unahitaji.
Najua wengi wetu vitato vyetu sio vikubwa,hivyo kuelekea mikoa mingi kutaka kufanana.
Kama fursa zipoje sehemu zote isipokuwa ambapo umezaliwa.
 
Tabora kwa miaka ya hivi karibuni ni Mkoa unaokua kwa kasi
 
Back
Top Bottom