Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
El I'm uHili kanisa katoliki lipewe mauwa yake, unajuwa utandawazi unakuja na mengi sana na kuyafahamu hata yaliyojificha.
Kwa muda mrefu Kanisa katoliki limekuwa likishambuliwa na madhehebu mengine ya kikristo hasa Wasabato na waislamu kwamba wanaabudu sanamu, kumbe hizi rituals zinafanywa na dini zote kongwe achana na vizehebu vya juzi juzi vya kuuza mafuta na maji ya upako.
Kumbe Wakatoliki ni wakimya sana, huwa wanaacha watu wapayuke kumbe ukweli uko wazi.
Haya niambieni hapo Maka kinachofanyika hii si ndio ibada zenyewe za sanamu?
Hebu angalia hao Wadosi huyo naye sijui ndio mungu wao wamekwenda hija.
Nilichokugunduwa hii dunia, mind your business.
View attachment 3282296View attachment 3282297
Ngoja wamalize kula daku watakuja kukushambulia hatari. Jamaa wanashikishwa ukuta kule macca na kuuziwa mawe ya kumpiga shetani alafu huku wanawatukana wafuasi wa Mwamposa kuuzia udongo.Hapo ndiyo mungu wao alipo?
Ishu ni kwa nini ushikwe kuamini kwamba unaweza kukuokoahivi ukuta nao ni sanamu😲😲😲
Wasabato si dini, ni dhehebu la kikristoWasabato ni sanam gani wanayoiabudu, je na phd ysko unajua maana ya kuabudu, ungeenda ku google then rudi tujadili. Roma hupiga magoti mbele ya sanam 2, bikra maria na yesu.
Soma vizuri kutoka 20 ndo ujue kuabudu ina maana gani. Kushika ukuta sio kuabudu. Hata wakristo huwa tunarnda mshsli yedu aliishi kwenda kutembelea
hakuna muislam anayekwenda kushika al kaaba akiamini itamuokoa.atakuwa hana akiliIshu ni kwa nini ushikwe kuamini kwamba unaweza kukuokoa
Dini ya haki based of what , which, when? Haki ni fact, list hizo factsAcha kuudhalilisha uislam bro kwani ni dini ya jaki na kweli
Dini za kwenye mtumbwi, halafu ngozi nyeusi ana jifanya kuzi jua kuliko mwenye nazo🤣😂Waliotuletea hizi dini wametuweza sana