Nimefikia Conclusion Kanisa Katoliki ni waungwana, na wavumilivu, dini zote zina ibada za sanamu ukiwemo Uislamu

Nimefikia Conclusion Kanisa Katoliki ni waungwana, na wavumilivu, dini zote zina ibada za sanamu ukiwemo Uislamu

Kwani Musa aliyeandika torati alikuwa mkatoliki?
Mfalme Suleiman na Daudi aliyeandika zaburu alikuwa mkatoliki?
Wale manabii kama Hagai na Danieli walikuwa wakatoliki?
Walioandika injili yaani Mathayo, Marko, Luka na Yohana walikuwa wakatoliki?
Yohana aliyeandika ufunuo alikuwa mkatoliki?

Sasa kwa kigezo kipi unasema biblia imeandikwa na Catholic? Catholic imefanya editing.
Hivi unaelewa maana ya Neno Catholic?
 
Wala hamjali alkrumuti aliliba akalinyea na akarudisha kokoto badala ya jiwe

Na unajua kwa nini wameziunga kokoto nane na kuziweka kwenye umbo la uke ?
kisa huyo jamaa alilinyea ndo unataka watu wasiende kuhijj?
 
Nani amekwambia kuushika huo ukuta tunaabudu huo ukuta , kwenye vitabu vyetu hakuna mahala tumeambiwa kuabudu ukuta ,,, yaani mwijaku ndio reference yenu kwamba waislam ndio idiol worshipers. Katika nguzo za Hija au Umra hakuna inayosema LAZIMA uende ushike huo ukuta kiigizo chetu ni Mtume Mohamad Rehema na Amani iwe juu yake ..hajatuambia hakuwahi kutuambia tuabudu jiwe au ukuta .. kama wewe kiigizo chako ni mwinjaku haya
 
Hizi dini zinachanganya sana.

Sielewi kwa nini vitabu vyao viba hadithi tofauti wakati Uislamu umekuja miaka 600 baada ya Ukristo.
 
Nani amekwambia kuushika huo ukuta tunaabudu huo ukuta , kwenye vitabu vyetu hakuna mahala tumeambiwa kuabudu ukuta ,,, yaani mwijaku ndio reference yenu kwamba waislam ndio idiol worshipers. Katika nguzo za Hija au Umra hakuna inayosema LAZIMA uende ushike huo ukuta kiigizo chetu ni Mtume Mohamad Rehema na Amani iwe juu yake ..hajatuambia hakuwahi kutuambia tuabudu jiwe au ukuta .. kama wewe kiigizo chako ni mwinjaku haya
Kwa nini mliguse kama halina manufaa yoyote?
 
Sijawahi kuona waarabu wakibishana na wazungu kuhusu hizi dini mbili, lakini sisi watu weusi tuna shida Gani ? 🤔
 
Kwasababu Mohamad Rasool Allah ndio kiigizo chetu waislam ..kila alilolifanya yeye basi na mafundisho kwetu sisi
Yeye aligusa kwa manufaa Gani ? Na alibusu jiwe kwa manufaa Gani ?
 
Sasa hilo ni swali ulitakiwa kuuliza toka hapo awali ..ukapewa historia yake ,,,
Sasa ujibu kwanini alilibusu? Maana Nina Hadith umar alisema halina maana ni jiwe tu lisilo ja maana yoyote, Muhammad akasema lina maana kubwa
 
Sasa ujibu kwanini alilibusu? Maana Nina Hadith umar alisema halina maana ni jiwe tu lisilo ja maana yoyote, Muhammad akasema lina maana kubwa
Ni kweli halina maana yoyote ... Ni wapi umesoma mtume alilibusu
 
Ni kweli halina maana yoyote ... Ni wapi umesoma mtume alilibusu
Kwa hiyo kati ya umar alisema halina maana ni jiwe tu , Muhammad aliesema kulibusu kuna maana kubwa sana , wewe umechagua kumuamini umar badala ya Muhammad?
 
Ni kweli halina maana yoyote ... Ni wapi umesoma mtume alilibusu
kwa nini Umar alisema jiwe halina msaada wowote na haliwezi kufanya chochote na kutoa faida yoyote likibusiwa , na analibusu kwa sababu mudi ka busu tu

Abis bin Rabi'ah reported: I saw 'Umar bin Al-Khattab kissing the Black Stone (Al-Hajar Al-Aswad) and saying: "I know that you are just a stone and that you can neither do any harm nor give benefit. Had I not seen Messenger of Allah (ﷺ) kissing you, I would not have kissed you". [Al-Bukhari and Muslim].
 
Acha unafikia ndugu yangu ,nyie wakatoliki ni wabaya tena wanafiki zaidi ,kwenye mitandao mnapenda kujifanya mna nguvu ,mnasema mlianzisha uislamu..
Lini bro wamesema haya hawa watu,hilo la Catholics kuanzisha uislam sasa nakaribia uzee lakini nilikuja kulisoma humu na walioandika hizo habari sijawahi kuona wame-declare ni wakatoliki.

Labda unaweza ukamtaja mmoja wao?
 
Back
Top Bottom