Nimefikia Conclusion Kanisa Katoliki ni waungwana, na wavumilivu, dini zote zina ibada za sanamu ukiwemo Uislamu

Nimefikia Conclusion Kanisa Katoliki ni waungwana, na wavumilivu, dini zote zina ibada za sanamu ukiwemo Uislamu

Jifunze history ya kanisa.
Kwani Musa aliyeandika torati alikuwa mkatoliki?
Mfalme Suleiman na Daudi aliyeandika zaburu alikuwa mkatoliki?
Wale manabii kama Hagai na Danieli walikuwa wakatoliki?
Walioandika injili yaani Mathayo, Marko, Luka na Yohana walikuwa wakatoliki?
Yohana aliyeandika ufunuo alikuwa mkatoliki?

Sasa kwa kigezo kipi unasema biblia imeandikwa na Catholic? Catholic imefanya editing.
 
Mussa hajaandika biblia, mbona mnakuwa na vichwa vigumu namna hii? Wakati wa Musa hakukuwa na kitu kinaitwa biblia.
 
The moment you say your religion is the only true one and all other religions are wrong, understand this, Your opinions are not different from that of a suicide bomber.
 
Mussa hajaandika biblia, mbona mnakuwa na vichwa vigumu namna hii? Wakati wa Musa hakukuwa na kitu kinaitwa biblia.
Sasa kwanini vile vitabu vya musa vitano yaani Mwanzo, kutoka, mambo ya walawi, hesabu na kumbukumbu la torati vipo kwenye biblia? Au warumi( wakatoliki ndo waliviandika)?
Biblia imeandikwa na kanisa katoliki. Kasome catholic encyclopedia.
Tuletee ushahidi wewe uliyekisoma.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Sasa kwanini vile vitabu vya musa vitano yaani Mwanzo, kutoka, mambo ya walawi, hesabu na kumbukumbu la torati vipo kwenye biblia? Au warumi( wakatoliki ndo waliviandika)?
Tuletee ushahidi wewe uliyekisoma.
Kitafute ukisome au subiri mchungaji wako akudanganye.
 
Wewe ndiyo umeongea.watu siyo wafuatoliaji wazuri wa dini hizi mbili. Almost kila kitu kinafanana. Isipokuwa tu wale wanasali kilatini wengine kiarabu. Hata mavazi ya mitume na wanawake enzi hizo walivaa kama waislam
Waislamu wamewaiga mitume wa kiyahudi uvaaji kama walivyojinasibisha na manabii wao
 
Wakatoliki siyo wanafiki ndo maana linaonekana dhehebu lenye wakosefu wengi. Ni kwaida kumkuta mkatoliki anakunywa pombe hadharani ila sio mlokole kanisani anaonekana innocent ila nyuma ya pazia mkatoliki ana afadhali.
Hii comment tuiwekee lamination
Binafsi wapo baadhi ya wafia dini nawafahamu wakiwa mbele ya watu wanachokiongea na wanayoyenda nyuma ya pazia huwezi amini
 
Kazi za sanamu jiwe la macca (kwa waislamu linafanya yafuatayo)
  • Jiwe jeusi lina fyonza dhambiza waislamu
    • Ibn Abbas alisisitiza kwamba: Muhammad alisema: "Jiwe jeusi liliteremka kutoka Peponi, na lilikuwa jeupe zaidi kuliko maziwa, kisha likatiwa weusi na dhambi za watoto wa Adamu. Jami` at-Tirmidhi 877
  • Jiwe jeusi kutoa hukumu siku ya mwisho
    • Imesimuliwa kwamba Ibn 'Abbaas alisema: Muhammad alisema juu ya Jiwe: "Na Allaah, Allaah Atalileta jiwe hiyo Siku ya Kiyama, na jiwe litakuwa na macho mawili na ambayo yanaona na mdomo ambao utaongea , na jiwe litashuhudia kwa wale walioigusa kwa moyo wa kweli. "Jami` at-Tirmidhi 961
  • Jiwe linafuta dhambi likiguswa kwa moyo wa kweli
    • Imesimuliwa kutoka kwa Abdullah bin Ubaid bin Umair kwamba: "Ewe Abu abdur-Rahman, kwanini nikuone tu ukigusa hizi pembe mbili?" Alisema: "Muhammad alisema: Kuzigusa zinafuta dhambi." Sunan an-Nasa'i 2919
 
Ifike mahali mods wafunge jukwaa la dini, inakera sana miwatu mizima na vuzi zao kwapani,kifuani mpaka kwenye miguu kila siku inalumbana kama mitoto kwenye tamaduni walizoletewa huku wakiwa hawana uhakika nazo wakiambiwa wathibitishe.

Mimi sio atheist lakini hizi mada ni zakipumbavu, haijalishi we ni mkristo,muislam au mhindu kama umekosa utu wakuheshimu wengine kwa kutaka uonekane bora basi ni mpumbavu tu kama wapumbavu wengine
 
Wewe uliyekisoma ndo utuletee ushahidi hapa. Kwani kuna ugumu gani?

Waandishi wote wa vitabu vilivyoko kwenye biblia hakuna hata mmoja aliyekuwa mkatoliki.
Level yako ya uelewa ipo chini sana. Niamini mimi.
 
Back
Top Bottom