Acha kuudhalilisha uislam bro kwani ni dini ya jaki na kweli
Ndivyo ulivyolelewa na kuaminishwa .
Wewe ni Mwoga sio kwamba unampenda Mungu .
Unaogopa kuungua moto wa Jehanam.
Mungu ameumba watu na kuwapa akili ya kuchagua bila kuwalazimisha ili watakaofuzu wawe ni wachache na wapo ndani ya Ukristo kama Yesu Kristo alivyo ndivyo na Wakristo wachache sana walivyo.
Yesu aliwaambia wanafunzi wake kuwa ufalme wa Mungu upo ndani yenu .
Kwenda Maka ni kwenda kwenye ibada ya mizimu ya kiarabu ndio maana watu wanafanya ibada kwa lugha ya kiarabu maana mizimu ya Kiarabu haijui lugha nyingine .
Mungu hata mtu asipoongea Mungu anajua mawazo ya mtu lakini mizimu ya kiarabu ikiwemo ile iliyopo kwenye kaburi la mwasisi wa harakati za kiislam haina uwezo wa kujua mawazo ya watu.
Kaburi limejengwa kama sanamu na watu wanafurika kuliheshimu na kufanya ibada yao kwa imani ya kidini.
Waislam wana alama ya picha na sanamu ya Mwezi nyota .
Waafrika peke yao na wayahudi ndio ambao hawana Ibada za sanamu .
Waislam wanamshirikisha Allah na Mtume .
Kila anapotajwa Allah wanamtaka na mtume kwa maana kwamba Allah peke yake hamsaidii mwanadamu . Hii ni shiriki kama ile ya wengine.
Mungu ndiye mkamilifu peke yake na mwenye haki sio dini ya mtu .Dini zimewekewa taratibu na wanadam na Mungu hawezi kupangiwa taratibu na binadam.
NDio maana korani inakataza Kula nyama iliyochnjwa na Mkristo lakini haikatazi Sigara iliyotengenzwa na Mpagani . Allah na mtume wake hawajui madhara ya sigara lakini wanajua madhara ya kula Kuku aliyechinjwa na mkristo au nguruwe😂😂😂😂😂😂
Tutaenda Peponi kwa Rehema za Mwenyezi Mungu chini ya utawala wa Masihi Issah bin Mariam.