Wameandika wapi?Ishu ni kwa nini ushikwe kuamini kwamba unaweza kukuokoa
unajua maana ya sunnah ya mtume?Kwanini mtume alishika ? Kama hakuna manufaa?
wakati mtume anasema hayo ulikuwepo?Hadith zote nilizoweka ni sahih
nimekuuliza wewe kwa kumaanisha utaratibu wa kwenda chooni na viatu umewekwa toka zamani.ndivyo hata sisi utaratibu wa kuswali kuelekea maka ulivyowekw toka zamani hauwezi kupingaKwa hiyo unatuambia unatumia choo Cha nje Cha matope
Dini ni ujinga wa mwisho kabisaa kwa mtu mweusiAcha kuudhalilisha uislam bro kwani ni dini ya jaki na kweli
Nimechekaje!! Kuna sehemu wanavua nguo zote za ndani wanabaki na kijishuka tu, na ukimaindi demu unamuoa kwa masaa tu unapiga halafu mnaachana!! Hii dini nayo ni miongoni mwa dini za hovyo kabisa, ukianzia na kuchinja watu huko Boko haram, ukienda Msumbiji, wapo Somalia, na Congo, ni mwendo wa kujilipua na kuahidiwa mabikra 72 na mito ya pombe!! Ujinga!Ngoja wamalize kula daku watakuja kukushambulia hatari. Jamaa wanashikishwa ukuta kule macca na kuuziwa mawe ya kumpiga shetani alafu huku wanawatukana wafuasi wa Mwamposa kuuzia udongo.
😅🤣😂😇
Taulo za upako.Afu hyo mijitaulo wanajifunga ya nini?
Ndio mkuu!ushawahi kuingia chooni peku peku bila viatu?
basi na sisi kushika al kaaba ni utaratibu tuliowekewa hatuwezi kuuvunjaNdio mkuu!
Al Kaaba ni nini.basi na sisi kushika al kaaba ni utaratibu tuliowekewa hatuwezi kuuvunja
Wewe haki unaijua? What means of hakiAcha kuudhalilisha uislam bro kwani ni dini ya jaki na kweli
Hayo unayaona ni madhaifu kwa mtazamo wako. Wao walikuwa honest kuandika kila kituWaasingeweza kuandika kitu ambacho ndani yake kinaonesha madhaifu yao...
Kama warumi hawana vinasaba itakuwa wasukuma?Sio kweli...
Pindi tu Yesu Kristo alipoondoka, wafuasi wake walianza kuwa na fellowship lakini kwa kujificha sana...
Ukatoliki wa Kirumi ulikuja baadaye sana na hata matawi yake yalikuja baadaye pia...
Kuna imani za kikristo ambazo hazifuati wala kuwa na vinasaba na ukatoliki wa kirumi...
nyumba ya mwenyezi MunguAl Kaaba ni nini.
Ndani ya ukuta kuna nini? Maana dhana ya kusema uongo inatusumbua sana wanadamuhivi ukuta nao ni sanamu😲😲😲
Jack Daniel's auAcha kuudhalilisha uislam bro kwani ni dini ya jaki na kweli