Nimefikia Conclusion Kanisa Katoliki ni waungwana, na wavumilivu, dini zote zina ibada za sanamu ukiwemo Uislamu

hakuna muislam anayekwenda kushika al kaaba akiamini itamuokoa.atakuwa hana akili

Kazi za sanamu jiwe la macca (kwa waislamu linafanya yafuatayo)
  • Jiwe jeusi lina fyonza dhambiza waislamu
    • Ibn Abbas alisisitiza kwamba: Muhammad alisema: "Jiwe jeusi liliteremka kutoka Peponi, na lilikuwa jeupe zaidi kuliko maziwa, kisha likatiwa weusi na dhambi za watoto wa Adamu. Jami` at-Tirmidhi 877
  • Jiwe jeusi kutoa hukumu siku ya mwisho
    • Imesimuliwa kwamba Ibn 'Abbaas alisema: Muhammad alisema juu ya Jiwe: "Na Allaah, Allaah Atalileta jiwe hiyo Siku ya Kiyama, na jiwe litakuwa na macho mawili na ambayo yanaona na mdomo ambao utaongea , na jiwe litashuhudia kwa wale walioigusa kwa moyo wa kweli. "Jami` at-Tirmidhi 961
  • Jiwe linafuta dhambi likiguswa kwa moyo wa kweli
    • Imesimuliwa kutoka kwa Abdullah bin Ubaid bin Umair kwamba: "Ewe Abu abdur-Rahman, kwanini nikuone tu ukigusa hizi pembe mbili?" Alisema: "Muhammad alisema: Kuzigusa zinafuta dhambi." Sunan an-Nasa'i 2919
 
anayesamehe ni Allah sio jiwe lile.ambao hatujawahi kwenda maka tunasamehewa na nani dhambi zetu?
 
Unajua ukienda maka unasamehewa na lile jiwe madhambi ya maelfu ya miaka na siku ya mwisho litakuwa na macho na mdomo na litaongea

Turudi kwenye masanamu ya waislamu kina selemani

Waislamu walikuwa wanayaangalia masanamu ya malaika , mitume na watumishi watiifu ili wamuabudu allah
Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah
 
nimekuuliza waislam wasiokwenda maka wanasamehewa na nani dhambi zao?
 
Kwanini mnatumia gharama kubwa kwenda kulibusu au kulipungia mkono kama halina maana yoyote?
ibada ya hija na umra sio kwwnda kubusu jiwe peke yake.
na kule waislam hawalifuati jiwe bali ibada ya hijja na umra.
 
nimekuuliza waislam wasiokwenda maka wanasamehewa na nani dhambi zao?
Wasio na uwezo wanatakiwa wajitaidi kufanya matendo mengine ndio Allah awasamehe

Ila ukiweza kwenda jiwe linafuta dhambi zote za miaka mingi mno

Tena linapofuta linaendelea kuwa jeusi tii mana lilipo letwa lilikuwa jeupe pee
 
Kwa utafiti wangu wa kina kabisa,dini inayofwata viwango vya Mungu wa kweli ni Mashahidi wa Yehova na hawana hayo mambo ya kuabudu sanamu
 
2. Kutumia lugha moja kwa ibada, imewekwa tu kufanya uniformity ili wanadam waweze kusali mahali popote
Leo hii ukitoka Dar ukaenda machame decemba, misa ZOTE zinangozwa kimachame; WEWE unabakia kufuatishia tu kama Mr.Bean

3. Narudia tena, Shanga sio Ibada!
Na kwa vijana wa kizazi hiki hawatumii tena shanga, wana counter digital (mimi mwenye ninayo digital) na sijawahi kuwa na counter ya shanga na miaka inavyo kwenda shanga zitatoweka sokoni....

Mkitumia na digital kwenye kuitana kuswali badala ya mapaza sauti, mtaonekana wa maana sana. Maana sasa mnawaamsha hata wasiohusika na huyo swalaaa wenu
 
Dini zote mbili zimetokea mashariki ya kati ambayo ipo sawa kiutamaduni.

Ukisema mitume walivaa kiislamu au wale wanaosema "bikra mariamu" Alijistiri kiislamu na wakati aliishi kipindi ambacho uislamu haupo.. Inakuwa si sawa

Walivaa kwa namna ya tamaduni zao si kwa namna ya, dini flani

Hawajuagi hilo
 
Demi please, the scandal was all over the news, why are you so offended?
Hujawahi kusikia maustaadh wanao lawiti watoto, au umeamua tu kujitoa ufahamu?
 
Katika ulimwengu wa roho hakuna tofauti ya Ukatoriki na Uislamu! Zote zina taratibu za ibada zinazofana ambazo zinakatazwa na Mungu,(Walawi26:1)
Pamoja na mleta mada kukusaidia kuandika Wakatoliki lakini wapi. Tuassume kusoma hujui ila hata picha Mababu?

Wazee huu mtaala wa elimu upitiwe upya asee.
 
Swali jepesi, kama una maruani usinikurupukie mimi, Hivi kwenye hilo lisanduku kunakuwemo nini??
 
Back
Top Bottom