Nimefikia Conclusion Kanisa Katoliki ni waungwana, na wavumilivu, dini zote zina ibada za sanamu ukiwemo Uislamu

Nimefikia Conclusion Kanisa Katoliki ni waungwana, na wavumilivu, dini zote zina ibada za sanamu ukiwemo Uislamu

1. Kitendo cha kuelekeza misikiti Qibla ni sababu tosha kwamba kuna kitu kinaabudiwa, sio Mungu Mwenyezi.
2. kuhusu Mwezi; Kufanya ibada kwa kuangalia/kufuata mwezi, kwamba mwezi umekuwa kama msalaba kwa ndugu zetu, nalo linashangaza.
3. Kumfuata na kumpa hadhi kubwa Muh'd (SAW) kuliko Mungu Mwenyezi, ni ishara nyingine kuwa ndugu zetu nao hawana tofauti na sisi.
4. Kwenda Hijja huko Makkah, ni sababu nyingine kuwa hakuna tofauti na wakatoliki.
5. Kuhesabu tasbihi(?) nayo ni ishara kuwa watu wanaabudu vitu vingine.

Tuishie hapo, kila mtu aamini anachoona kinafaa kwa imani yake, tusinyoosheane vidole.

Hayo maswali yako yalishajibiwa; soma post kabla ya kurudia; labda nikujibu kwa kifupi;
1. Waislam huelekea Kaaba iliyojengwa na Nabii Ibrahim pale Makkah na hata hilo jiwe linaloitwa jeusi; Ibrahimu ndiye alisema anaweka kitu cha tofauti hata baadae kama kaaba itavunjika watu wajue mahali ilipokuwa (alipojenga) ili waijenge tena.
2. Quran, ilishatuambia kuwa, tumewekewa mwezi ili tuweze kutambua majira/nyakati. Sasa watu wakitumia mwezi kutambua nyakati za kufunga, kulima nk kuna tatizo gani?
3. Ukisema waislam wanampa hadhi kubwa Muh'd (SAW), kuliko Mungu (Allah) unawakosea sana. Kwa taarifa tu; Qurani wanayo iamini na kuifuata Imentaja Mungu (Allah x 2697 na imentaja Muhamad kwa jina mara 5 tu).
4. Kwenda hija ni daraja la utakaso (la kusamehewa dhambi) kama muumini atafanya yanayotakiwa kabla ya kwenda. Mfano: Alipe madeni yake yote anayodaiwa, apatane na ndugu zake wote, Afunge kuomba msamaha, Awasamehe wote waliomkosea...halafu ndio aende tena kwa hela za halali sio hela za dili... wapo wanao kwenda tu kwa sababu wana uwezo, hao siwazungumzii...
5. Tasbihi, mlishajulishwa kuwa ile ni counter (kihesabio tu), mfano unataka kuliita jina la mUngu x 100;
na sasa hivi zinaondoka sokoni baada ya watu kupendelea kutumia counter ndogo za digital (zipo madukani).
 
Wa Lutheri wana abudu sanamugani
Kama kuweka sanamu ndani ya nyumba za ibada ninkuziabudu basi jua yankuwa statues in Lutheran churches ni common sana huko nje, jitahidini kufanya tafiti na kupata exposure.
 
Attachments

  • Screenshot_20250325_144540_Chrome.jpg
    Screenshot_20250325_144540_Chrome.jpg
    201.5 KB · Views: 13
  • Screenshot_20250325_144441_Chrome.jpg
    Screenshot_20250325_144441_Chrome.jpg
    280.1 KB · Views: 12
3. Ukisema waislam wanampa hadhi kubwa Muh'd (SAW), kuliko Mungu (Allah) unawakosea sana. Kwa taarifa tu; Qurani wanayo iamini na kuifuata Imentaja Mungu (Allah x 2697 na imentaja Muhamad kwa jina mara 5 tu).
Sema kweli Muhammad na Allah wapo sawa , fikiria kabla jambo halijaja kwenu lazima wakae walijadili wakubaliane ndio lije

Soma hiyo....

Koran 33:36. Haiwi kwa Muumini mwanamume wala Muumini mwanamke kuwa na khiari katika jambo, Allah na Muhammad wanapo kata shauri katika jambo lao.
 
Hayo maswali yako yalishajibiwa; soma post kabla ya kurudia; labda nikujibu kwa kifupi;
1. Waislam huelekea Kaaba iliyojengwa na Nabii Ibrahim pale Makkah na hata hilo jiwe linaloitwa jeusi; Ibrahimu ndiye alisema anaweka kitu cha tofauti hata baadae kama kaaba itavunjika watu wajue mahali ilipokuwa (alipojenga) ili waijenge tena.
2. Quran, ilishatuambia kuwa, tumewekewa mwezi ili tuweze kutambua majira/nyakati. Sasa watu wakitumia mwezi kutambua nyakati za kufunga, kulima nk kuna tatizo gani?
3. Ukisema waislam wanampa hadhi kubwa Muh'd (SAW), kuliko Mungu (Allah) unawakosea sana. Kwa taarifa tu; Qurani wanayo iamini na kuifuata Imentaja Mungu (Allah x 2697 na imentaja Muhamad kwa jina mara 5 tu).
4. Kwenda hija ni daraja la utakaso (la kusamehewa dhambi) kama muumini atafanya yanayotakiwa kabla ya kwenda. Mfano: Alipe madeni yake yote anayodaiwa, apatane na ndugu zake wote, Afunge kuomba msamaha, Awasamehe wote waliomkosea...halafu ndio aende tena kwa hela za halali sio hela za dili... wapo wanao kwenda tu kwa sababu wana uwezo, hao siwazungumzii...
5. Tasbihi, mlishajulishwa kuwa ile ni counter (kihesabio tu), mfano unataka kuliita jina la mUngu x 100;
na sasa hivi zinaondoka sokoni baada ya watu kupendelea kutumia counter ndogo za digital (zipo madukani).
Tunazungumzia ibada za sanamu, na mnafanya exactly the same, mnaabudu sanamu. Uliyoelezea yamenihakikishia kuwa mnaabudu sanamu.
 
Hujawahi kusikia maustaadh wanao lawiti watoto, au umeamua tu kujitoa ufahamu?

I don't understand why are you so offended by this? This is not about you or your faith, the fact that they're perverts in your churches and mosques, give me a break, I'm going to mention it every time I got a chance.
Kwanza kanisa sio la babaako, how come unaniletea emotions?
 
Nani kaKuletea emotions mkuu? Mimi nimeuliza tu kama umeshawahi kushuhudia hayo unayosema na kama huko upande wa pili hakuna wanaofanya hivyo.
Endelea kusema hivyo hujakatazwa na mimi nitakujibu tu kama nilivyokujibu leo.
 
Hili kanisa katoliki lipewe mauwa yake, unajuwa utandawazi unakuja na mengi sana na kuyafahamu hata yaliyojificha.

Kwa muda mrefu Kanisa katoliki limekuwa likishambuliwa na madhehebu mengine ya kikristo hasa Wasabato na waislamu kwamba wanaabudu sanamu, kumbe hizi rituals zinafanywa na dini zote kongwe achana na vizehebu vya juzi juzi vya kuuza mafuta na maji ya upako.

Kumbe Wakatoliki ni wakimya sana, huwa wanaacha watu wapayuke kumbe ukweli uko wazi.

Haya niambieni hapo Maka kinachofanyika hii si ndio ibada zenyewe za sanamu?

Hebu angalia hao Wadosi huyo naye sijui ndio mungu wao wamekwenda hija.

Nilichokugunduwa hii dunia, mind your business.

View attachment 3282296View attachment 3282297
Hiyo picha photoshop,na huo ni ukuta,sio sanamu.Sanamu ni umbo la binadamu,mnyama,ndege au kiumbe hai,yoyote kwa mfano wake,ukuta sio kiumbe hai kwa mfano wake.
 
Dini zote zina kitu kinaitwa mapokeo (mapokeo ni dini za asili/upagani) kama mavazi, mvinyo, namna ya kuzika, kuombea marehemu, mafuta, kutoa sadaka, nk) pia dini zina propaganda kali kufifisha mazuri ya dini zingine kama ilivyo kwenye vyama vya siasa
 
Sio kweli...

Pindi tu Yesu Kristo alipoondoka, wafuasi wake walianza kuwa na fellowship lakini kwa kujificha sana...

Ukatoliki wa Kirumi ulikuja baadaye sana na hata matawi yake yalikuja baadaye pia...

Kuna imani za kikristo ambazo hazifuati wala kuwa na vinasaba na ukatoliki wa kirumi...
hizo dini nyingine zinafuata ama zinaongozwa na kitabu gani?
 
Nani kaKuletea emotions mkuu? Mimi nimeuliza tu kama umeshawahi kushuhudia hayo unayosema na kama huko upande wa pili hakuna wanaofanya hivyo.
Endelea kusema hivyo hujakatazwa na mimi nitakujibu tu kama nilivyokujibu leo.

Watoto (sasa ni watu wazima)waliokulia chini seminari za kikatoliki walifichua jinsi walivyonyanyaswa na watu wenye dhamana kwenye kanisa, kuna baadhi ya watawa, Calcuta waliweka wazi jinsi walivyotumika kingono ndani ya kanisa.
Vatican wenyewe wameonyesha kusikitishwa na matukio hayo.
Hata ukiwa mfia dini matukio kama haya hayakubaliki iwe padre au ustaadh sheria uchukue mkondo wake.
Unaniuliza kama niliwahi kufanyiwa hivyo by joke, jibu hapana. I had a lucky to have parents who took care of me and tried their best to keep me safe.
Lakini tuwe na sympathy kwa wale waliopitia kwenye matatizo hayo.
Amani dada Demi, hakuna haja ya kuwa negative, wote lengo letu moja sema sometimes kupishana lugha kidogo ipo, au sio?
 
Katoliki ndio waanzilishi wa dini zote na madhehebu yote na ndio maana yanasajiliwa serikalini!!

Hawawezi kupiga kelele coz wao ndio architect wa Imani zote waaminizo watu!!

No hivyo tu!
 
hadithi zipo sahihi na dhaifu.
niseme ukweli mimi sipendi hadithi wanazoziita za mtume japo ni muislam
Shida ni nini kipimo cha dhaifu na sahihi. Maana kila mtu anaangalia ipi inakubaliana na matamanio yao
 
Back
Top Bottom