Nimefikia Conclusion Kanisa Katoliki ni waungwana, na wavumilivu, dini zote zina ibada za sanamu ukiwemo Uislamu

Nimefikia Conclusion Kanisa Katoliki ni waungwana, na wavumilivu, dini zote zina ibada za sanamu ukiwemo Uislamu

Attachments

  • Screenshot_20250326-060632.png
    Screenshot_20250326-060632.png
    281.9 KB · Views: 15
hauwezi ukasema nyumba ni sanamu.
Pale kuna jiwe ambayo linahistoria ya kutoka kwa wapagani mpaka kwa waislamu

Wapagani walikuwa wanapita uchi wa nyama waislamu wanapita bila chupi Wala boxer wanaume na wanawake
 
Pale kuna jiwe ambayo linahistoria ya kutoka kwa wapagani mpaka kwa waislamu

Wapagani walikuwa wanapita uchi wa nyama waislamu wanapita bila chupi Wala boxer wanaume na wanawake
toa uthibitisho
 
Kama kuweka sanamu ndani ya nyumba za ibada ninkuziabudu basi jua yankuwa statues in Lutheran churches ni common sana huko nje, jitahidini kufanya tafiti na kupata exposure.
Una google huko Mbona Unapata hata picha ya Yesu kavaasuti.nambie kanisagani kwa hapa Tanzania la kiluther utakuta sanamu
 
toa uthibitisho
Someni dini yenu, kwani hujui ukifika pale kwa sababu wanawake wapo na ka mtandio bila chupi unaweza kuomba kupiga mbupu inaitwa muta na ni halal

Ukifika pale ata kama una ndoa Yako unaweza kufunga ndoa ya siku moja mpaka tatu
 
Someni dini yenu, kwani hujui ukifika pale kwa sababu wanawake wapo na ka mtandio bila chupi unaweza kuomba kupiga mbupu inaitwa muta na ni halal

Ukifika pale ata kama una ndoa Yako unaweza kufunga ndoa ya siku moja mpaka tatu
haya ni maelezo au ya dini?
 
Hili kanisa katoliki lipewe mauwa yake, unajuwa utandawazi unakuja na mengi sana na kuyafahamu hata yaliyojificha.

Kwa muda mrefu Kanisa katoliki limekuwa likishambuliwa na madhehebu mengine ya kikristo hasa Wasabato na waislamu kwamba wanaabudu sanamu, kumbe hizi rituals zinafanywa na dini zote kongwe achana na vizehebu vya juzi juzi vya kuuza mafuta na maji ya upako.

Kumbe Wakatoliki ni wakimya sana, huwa wanaacha watu wapayuke kumbe ukweli uko wazi.

Haya niambieni hapo Maka kinachofanyika hii si ndio ibada zenyewe za sanamu?

Hebu angalia hao Wadosi huyo naye sijui ndio mungu wao wamekwenda hija.

Nilichokugunduwa hii dunia, mind your business.

View attachment 3282296View attachment 3282297
Hili ni jambo nyeti na linahitaji mjadala wa hekima na kuheshimiana. Dini zote zina historia, mila, na taratibu zao za kiibada, ambazo kwa waumini wake zina maana kubwa ya kiroho. Badala ya kulinganisha ibada za dini tofauti kwa mtazamo wa kushutumiana, ni bora kuelewa kwamba kila dini ina njia yake ya kumwelekea Muumba kulingana na mafundisho yake.


Kuhusu Kanisa Katoliki, Uislamu, na dini zingine, kila moja ina imani yake na mtazamo wake kuhusu ibada. Kuonyesha heshima kwa imani za wengine ni jambo la busara ili kuendeleza mshikamano na maelewano. Dunia ni kubwa na ina nafasi kwa kila mmoja kuamini anachoamini bila kupunguza thamani ya imani ya mwingine.
 
Kwanza wakatoliki hawaabudu sanamu, labda kama huelewi maana ya kuabudu.

Hivi unajua kuwa hata kabla ya Kristo, sanduku la agano, lilipewa heshima kubwa, wayahudi walilisujudia na lilibebwa na watu maalum. Je, utasema walikuwa wanaliabudu lile sanduku lililobeba zile mbao za amri za Mungu?

Wayahudi walivyokusa jangwani kwenye safari yao ya kuelekea Promise Land, pake walipokuwa wakiumwa na chochote wanakufa; Mungu akamwambia Musa atengeneze nyoka wa shaba, na kila aliyeumwa na chochote alimtazama yule nyoka wa shaba, naye alipona. Je, kwa upeo mdogo wa baadhi ya watu, wanaamimi kuwa waliokuwa wanamtazama nyoka wa shaba, walikuwa wanamwabudu?
Hivi mkuu unaweza ukasujidu halafu usiabudu?
 
Back
Top Bottom