Ni humu Jf au kwenye chama?Kuna jambo limenikwaza mno.
Haiwezekani kila siku tunazungumza jambo lile lile.
It is either hueleweki au ni dharau tu.
Ila mimi naamini ni dharau maana wahusika ni waelewa.
Sikutaka kuweka alama yoyote kuonyesha nilivyoguswa na maneno yako; kwa sababu alama sahihi haipo.Kwa hali hii siwezi endelea kuwa mhanga wa mambo ya kijinga ambayo hayana mwisho.
Imetosha.
Tafuta chimbo ulambe asali MzeeKwa hali hii siwezi endelea kuwa mhanga wa mambo ya kijinga ambayo hayana mwisho.
Imetosha.
Tafuta chimbo ulambe asali tuuTutafune wote nchi
EEEeeenHEEEeeehhh!Subiria mpaka uchaguzi upite by then kuchukua maiti itakua bure.
Waliokimbia chadema wanapewa vyeo wao hawapewiHukupewa hela yako ya kuhudhuria mkutano wa kawe nini?
Mamuzi magumu kunywa sumu ufeInavyoonekana imekuwa situation ya kudumu.
Nimefikia level ya mwisho ya uvumilivu.
Kwahiyo haya ni maamuzi yangu.
Naombea haya uliyoyanena Mungu wa mbinguni akasaidie yapate kutumia, maana nami ni kati ya watu waliotishika.Sikutaka kuweka alama yoyote kuonyesha nilivyoguswa na maneno yako; kwa sababu alama sahihi haipo.
Sitataka kukuomba ufafanue sababu ya hisia zako hizi; kwa sababu ni mtu unaye fahamika vyema humu juu ya msimamo wako.
Sasa nakuomba utulie; kwa sababu kila sekunde sasa inahesabika kuelekea tunako elekea.
HUWEZI KUIKATIA TAMAA TANZANIA HATA SIKU MOJA.
Usitishike.
Mungu hutimiza matakwa yake kupitia kwa binaadam alio waumba mwenyewe. Sioni sababu hata ndogo ya kumkatia tamaa Mungu kwa matakwa yake juu ya nchi yetu. Tulieni.Naombea haya uliyoyanena Mungu wa mbinguni akasaidie yapate kutumia, maana nami ni kati ya watu waliotishika.