Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
Upi ndugu StrokeKwa hali hii siwezi endelea kuwa mhanga wa mambo ya kijinga ambayo hayana mwisho.
Imetosha.
Upi ndugu StrokeKwa hali hii siwezi endelea kuwa mhanga wa mambo ya kijinga ambayo hayana mwisho.
Imetosha.
Mkeo kachepuka tena?Kwa hali hii siwezi endelea kuwa mhanga wa mambo ya kijinga ambayo hayana mwisho.
Imetosha.
Stroke umepigwa stroke mpaka umenyoosha mikonoKwa hali hii siwezi endelea kuwa mhanga wa mambo ya kijinga ambayo hayana mwisho.
Imetosha.
Mkuu hiyo Cha Mtoto, kiboko ni Ile akishinda maiti ya mpiga kura akifa maiti haitatozwa Hospitali.Umekata tamaa ahadi hatekelezeki hata ukibeba kwa rohoni.
Mfano wa ahadi moja wapo ni ununuzi wa tractors 10,000,000 ifikapo mwaka 2030.
Uhalisia haiwezekani.
John Deere ni miongoni mwa makampuni yanayozalisha na waundaji wa tractors, annually (kwa mwaka) wanaweza unda tractor 40,000 pekee in 5yrs ni tractor 2,000,000 sasa kufikia tractor 10,000,000 za mgombea wa CCM itachukua 25yrs in case amepanga kuwa raisi wa kudumu au aingie ubia na viwanda vitano (5) vya uundaji wa tractors wamuuzie yeye.
Uhakika kabisaEEEeeenHEEEeeehhh!
"mama anaupiga mwingi"
Tuliwaonya mkatuona wajingaKwa hali hii siwezi endelea kuwa mhanga wa mambo ya kijinga ambayo hayana mwisho.
Imetosha.
Nikikumbuka stroke wa miak 5 iliyopita nahuzunik sana. He lacked sense of humanity at allBado haujasema
Sukuma gang mwenzako saivi kubadilisha jina kutoka Jingalao saivi anajiita funaku.Kwa hali hii siwezi endelea kuwa mhanga wa mambo ya kijinga ambayo hayana mwisho.
Imetosha.
Au kama yupo Mwanza Jiji aje hapa Empire mkabala na Tema Hotel kwa Mbunge Mkatwa Mabula!Pole mkuu kwa kupata Stroke
Ila kama utaweza njoo hapa kitambaa cheupe karibu na Dj
Ushapata strike ukapa stroke 🤣🤣🤣Kwa hali hii siwezi endelea kuwa mhanga wa mambo ya kijinga ambayo hayana mwisho.
Imetosha.
HeheheUshapata strike ukapa stroke 🤣🤣🤣
Acheni kupotosha.....Hospitali zinajengwa, Shule zinakamilika, Umeme Nchi Nzima.Kwa Mtanzania yyte mwenge akili ya kawaida ku support utawala wa huyu mama lazima ujiulize kichwani kama akili yako iko sawa!
kindaki ndaki ume patwa na nn Tena ??Kwa hali hii siwezi endelea kuwa mhanga wa mambo ya kijinga ambayo hayana mwisho.
Imetosha.
Kumbe wewe ni MUOGA ila unataka wengine ndio wafanye sio? Ahahahahaha!!Nashangaa wanaosema eti jezhi liingilie..cdf hawez fanya chochote..wanaoweza ni wale ambao wapo chini je wapo macho?au ndio kama sie watanzania uoga mwingi!