Nimefikia kikomo cha mwisho cha uvumilivu huu ujinga sasa basi

Mkuu stroke kwani kuna nini?
Kuna jambo limenikwaza mno.

Haiwezekani kila siku tunazungumza jambo lile lile.

It is either hueleweki au ni dharau tu.

Ila mimi naamini ni dharau maana wahusika ni waelewa.
 
Kuna jambo limenikwaza mno.

Haiwezekani kila siku tunazungumza jambo lile lile.

It is either hueleweki au ni dharau tu.

Ila mimi naamini ni dharau maana wahusika ni waelewa.
Ni humu Jf au kwenye chama?
 
Kwa hali hii siwezi endelea kuwa mhanga wa mambo ya kijinga ambayo hayana mwisho.

Imetosha.
Sikutaka kuweka alama yoyote kuonyesha nilivyoguswa na maneno yako; kwa sababu alama sahihi haipo.

Sitataka kukuomba ufafanue sababu ya hisia zako hizi; kwa sababu ni mtu unaye fahamika vyema humu juu ya msimamo wako.

Sasa nakuomba utulie; kwa sababu kila sekunde sasa inahesabika kuelekea tunako elekea.

HUWEZI KUIKATIA TAMAA TANZANIA HATA SIKU MOJA.
Usitishike.
 
Kwa hali hii siwezi endelea kuwa mhanga wa mambo ya kijinga ambayo hayana mwisho.

Imetosha.
Tafuta chimbo ulambe asali Mzee
Acha kelele uchwara zenu hazisaidii kitu
 
Naombea haya uliyoyanena Mungu wa mbinguni akasaidie yapate kutumia, maana nami ni kati ya watu waliotishika.
 
Naombea haya uliyoyanena Mungu wa mbinguni akasaidie yapate kutumia, maana nami ni kati ya watu waliotishika.
Mungu hutimiza matakwa yake kupitia kwa binaadam alio waumba mwenyewe. Sioni sababu hata ndogo ya kumkatia tamaa Mungu kwa matakwa yake juu ya nchi yetu. Tulieni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…