Nimefikia uamuzi wa kuchanachana vyeti vyangu vyote vya Kitaaluma baada ya kuona sifaidiki na elimu niliyosoma

Mlio karibu na huyu jammaa Dj DON NALIMISON angalieni namna ya kumsaidia. Haya maandishi yake yanaonesha kuna kitu hakipo sawa kichwani kwake na pia katika roho yake.
 
Vizuri sana mkuu. Pia kavichome moto hivyo vyeti mkuu. Ukiona elimu haikusaidii chochote achana nayo.

Choma hivyo vyeti aisee. Usikae na makaratasi ambayo hayana faida yoyote mkuu.
 
All the best bro
 
Hata kufikia uamiz huo umetoka na ujuz ulioupata katk elimu hiyoo yaan unaajrbu kukat tawi ulilokalia na kuona halina msaada kwako
 
Hata uwe na mavyeti kontena zima Mungu akiamuwa kukupa anakupa au kukunyima. unakuta wa std 7 adi 4 wanahela wakati Mwenye mavyeti kitandani anasota 😁 ndiyo mujuwe Mwenyezi anampa mtu amtakae,

قُلِ اللَّهُمَّ مَالِكَ الْمُلْكِ تُؤْتِي الْمُلْكَ مَنْ تَشَاءُ وَتَنْزِعُ الْمُلْكَ مِمَّنْ تَشَاءُ وَتُعِزُّ مَنْ تَشَاءُ وَتُذِلُّ مَنْ تَشَاءُ ۖ بِيَدِكَ الْخَيْرُ ۖ إِنَّكَ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ

Sema: Ewe Mwenyezi Mungu uliye miliki ufalme wote! Wewe humpa ufalme umtakaye, na humwondolea ufalme umtakaye, na humtukuza umtakaye, na humuangusha umtakaye. Kheri yote iko mikononi mwako. Hakika Wewe ni Muweza wa kila kitu.

تُولِجُ اللَّيْلَ فِي النَّهَارِ وَتُولِجُ النَّهَارَ فِي اللَّيْلِ ۖ وَتُخْرِجُ الْحَيَّ مِنَ الْمَيِّتِ وَتُخْرِجُ الْمَيِّتَ مِنَ الْحَيِّ ۖ وَتَرْزُقُ مَنْ تَشَاءُ بِغَيْرِ حِسَابٍ

Wewe huingiza usiku katika mchana, na huuingiza mchana katika usiku. Na humtoa hai kutokana na maiti, na humtoa maiti kutokana na aliye hai. Na unamruzuku umtakaye bila ya hisabu.
 
Mimi sio mpumbavu, najua mbinu zote za kijeshi na kanuni zote za Majeshi. Sibabaishwi. Tena wanikome maana Kuna uovu mkubwa Sana wamenifanyia Hawa wanajeshi. Nawasubiri kwenye Kona ICC.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daaaah
 
Nimecheka hapo kuhusu swala la nyuma ya mapazia ya makada wa chama 😂

By the way Dj DON NALIMISON usisahau kuchanachana fweza kama unazo ukimaliza ndiyo uchane mistari yako.
 
Tutasikia mengi chini ya awamu hii ya ndugu zangu CCM
 
HUYU KUNA BANGI AMEPANDA HAZIJAKOMAA AMEANZA KUZIVUNA NA KUZIVUTA. HAPA SERIKALI WAENDE VIZURI KWAKE ATAWAONYESHA SHAMBA LAKE NA MASHAMBA MENGINE YA RAFIKI ZAKE!
 
Hizi Shahwa mshua ako alizomwagia maza ako zikakutengeneza wewe zilikuwa ni dhaifu sana kiasi ambacho umezaliwa ukiwa na ubongo finyu sana kuliko hata wa sisimizi! Yaani sisimizi wanna uwezo mkubwa wa kufikiri na kufanya vitu mara mia kuliko wewe.
Kwa hayo matusi mbona ni kama mna akili sawa wote. Mchukue ndugu yako shaurianeni kama ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…