Nimefikia uamuzi wa kuchanachana vyeti vyangu vyote vya Kitaaluma baada ya kuona sifaidiki na elimu niliyosoma

Nimefikia uamuzi wa kuchanachana vyeti vyangu vyote vya Kitaaluma baada ya kuona sifaidiki na elimu niliyosoma

ulipoandika private candidate ndipo palipo prove kuwa wew ni sa mbofu
 
Bangi + ushenzi + ongezeko la joto duniani = upotevu

Kwa uhakika ni kuwa una vyeti vya kughushi.

Huna utulivu kiakili.
Hii imepita bila kupingwa jina la kuanzia shule ya msingi mpaka anafikia mda wakutumia utalamu alisomea majina hayaendani. Kwann watu wasikuangalie kam hakuoni. Kwenye ilo jambo CCM anawaonea buree🤣
 
kumbe jamaa utotoni aliitwa MASHAKA[emoji848]hii kitu ndio inamsumbua huyu mwamba
 
hivi wazee ndiyo tulishindwa kabisa kumtafutia wakili mzuri jamaa arudi mtaani. Kesi yake haina mashiko kabisa. Jamaa anaenda kutumia muda wake mwingi jela na itamuathiri zaidi ya alivyo sasa hivi.

Uongozi wa JF ufuatilie na utupe uataratibu.
 
Back
Top Bottom