Nimefikiria kufungua mahakama yangu ya kimila je haitakuwa kosa kisheria?

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,615
Reaction score
1,901
Mimi ni mlozi, tena ni mlozi mzuritu.
Nimepata wazo nyumba yangu niigeuza mahakama ya asili (kimila au kichawi)

Yaani niweke bango barazani niandike kalibu mahakama ya asili.
Majukumu yake ni
Kushughulikia haki, mali ndoa nk

Mfano
Umeibiwa na unataka kumloga mwivi wako unakuja mahakamani kwangu tunaliweka sawa,
mkeo nyumbani haeleweki baada ya kwenda sijui bakwata mnakuja tu kwangu au tunayajenga kushirikina,
Kuna mtu amekuzulumu unakuja
Unatafuta kazi na haupati unakuja
Kuna kijana kununua gari na moyo haupendi unakuja.

Je haitokuwa kosa kisheria, na kama sio kosa kisheria je kibali naweza kipata wapi?
 
Yanafanyika ila kwa siri, ukifanya wazi utashughulikiwa
 
Cc. Ngoja nikuitie kaka yetu Kiranga na uhakika atakushaurii vyemaa
 
Back
Top Bottom