TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi

Pole mkuu.ni jambo gumu kuondokewa na mzazi.lkn ashukuriwe Mungu hata ulipata time ya kumuuguza
 
Inna Lillah wa Inna iLayhi Rajioun
Allah amrehemu... Siye sote tutaondoka kesho haina dhamana ..
Poleni
 
Pole sana Kwako, kwa Familia yako nzima na Wadau wako wa karibu. Baba ameshaumaliza mwendo wake kikubwa tumuombee tu Makazi mema huko aendako, tuendeleze Mema yake na tumshukuru mno Mwenyezi Mungu kwa Kumpenda zaidi kwani ndiye aliyemuumba pia.

R.I.P Baba.
 

Pole sana mkuu.

Apumzike kwa amani mzee wako.

Sisi tu waja wake Mola na kwake tutarejea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…