TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi

TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi

Habari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.

Hatimae Mungu ameamua kumpumzisha, mazishi yatafanyika leo, "Singida"

Natamani niseme sana ila nadhani nimeona nifupishe walau hata mtapoona nipo kimya muelewe napita ktk kipindi gani.

Nawapenda na Mungu Awabariki.
POLE SANA MKUU

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Poleni sana katika kipindi kugumu hiki,Tunawaombea MUNGu awapee faraja wewe na familia
 
Habari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.

Hatimae Mungu ameamua kumpumzisha, mazishi yatafanyika leo, "Singida"

Natamani niseme sana ila nadhani nimeona nifupishe walau hata mtapoona nipo kimya muelewe napita ktk kipindi gani.

Nawapenda na Mungu Awabariki.

Pole sana mkuu
 
Pole Sana mkuu , tuendelee kuchukua tahadhali Corrona ipo!
 
Back
Top Bottom