TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi

TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi

P
Habari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.

Hatimae Mungu ameamua kumpumzisha, mazishi yatafanyika leo, "Singida"

Natamani niseme sana ila nadhani nimeona nifupishe walau hata mtapoona nipo kimya muelewe napita ktk kipindi gani.

Nawapenda na Mungu Awabariki.
POle sana ndugu yetu katika JF.
Mungu afanye wepesi na akupe faraja.
 
Pole sana kiongozi. Rambi rambi kwa tuliopo mbali tunatoa kwa njia gani?
 
Habari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.

Hatimae Mungu ameamua kumpumzisha, mazishi yatafanyika leo, "Singida"

Natamani niseme sana ila nadhani nimeona nifupishe walau hata mtapoona nipo kimya muelewe napita ktk kipindi gani.

Nawapenda na Mungu Awabariki.
controla
mkuu pole sana Mungu akupe ujasiri
 
Back
Top Bottom