Amen[emoji1317][emoji1317][emoji1317]Mungu atamponya mkuu
Pole sana CONTROLA Mungu akuvushe wewe na familia kwenye mtihani huu wa majonziHabari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.
Hatimae Mungu ameamua kumpumzisha, mazishi yatafanyika leo, "Singida"
Natamani niseme sana ila nadhani nimeona nifupishe walau hata mtapoona nipo kimya muelewe napita ktk kipindi gani.
Nawapenda na Mungu Awabariki.
Pole sana CONTROLA na rip mzee wetuHabari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.
Hatimae Mungu ameamua kumpumzisha, mazishi yatafanyika leo, "Singida"
Natamani niseme sana ila nadhani nimeona nifupishe walau hata mtapoona nipo kimya muelewe napita ktk kipindi gani.
Nawapenda na Mungu Awabariki.
Pole sana mkuu,Mungu na awe mfariji katika kipindi hiki unapopitia machungu.Habari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.
Hatimae Mungu ameamua kumpumzisha, mazishi yatafanyika leo, "Singida"
Natamani niseme sana ila nadhani nimeona nifupishe walau hata mtapoona nipo kimya muelewe napita ktk kipindi gani.
Nawapenda na Mungu Awabariki.
dah, pole sana aiseeHabari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.