POLE SANA MKUUHabari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.
Hatimae Mungu ameamua kumpumzisha, mazishi yatafanyika leo, "Singida"
Natamani niseme sana ila nadhani nimeona nifupishe walau hata mtapoona nipo kimya muelewe napita ktk kipindi gani.
Nawapenda na Mungu Awabariki.
Huyo member ninani mkuuPole sana ndugu.
Baba yako alikuwa humu JF? Maana kuna member kafariki, ukute ndiyo mzee wako.
Daaah[emoji134][emoji134]Pole sana, vipi hela ya mrembo wa watu umerudisha?
Habari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.
Hatimae Mungu ameamua kumpumzisha, mazishi yatafanyika leo, "Singida"
Natamani niseme sana ila nadhani nimeona nifupishe walau hata mtapoona nipo kimya muelewe napita ktk kipindi gani.
Nawapenda na Mungu Awabariki.
Pole Sana mkuu , tuendelee kuchukua tahadhali Corrona ipo!Habari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.