TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi

POLE SANA MKUU,MUNGU AKUPE AMANI NA SUBLA KWA KIPINDI HIKI KIGUMU,UMEFANYA JAMBO LA MAANA SANA KATIKA HII DUNIA KUWA KARIBU NA MZAZI WAKO NA KUMUUGUZA HADI UMAUTI ULIPOMKUTA,UMEFANYA KITU BORA SANA,UMEJIWEKEA HAZINA KUBWA KWA KIZAZI CHAKO.POLE SANA
 
Pole Sana mkuu
 

May his soul rest in eternal Peace. Pole mkuu. Take heart.
 

Pole sana Mkuu CONTROLA . Mungu akutie Nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana, Singida sehemu gani ?
 
POLE SANA MKUU
 
Pole sana kiongozi, lakini yote ni heri na hasa pale mzazi anapotimiza malengo kama tunavyoomba Siku zote kwamba "tuushuhudie uzee wa watoto wetu". Mzee wako ameshuhudia uzee wako hivyo ni jambo la kumshukuru sana Mungu!
 
Pole maisha mapito
 
POLE SANA mkuu...kuuguza na kuondokewa na mzazi inaumiza SANA.
R.I.P baba

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Aisee pole sana
 
Mungu mwenyezi akawe mfariji mkuu katika kipindi hiki kigumu na Roho ya Marehemu Mzee wetu apate pumziko. AMEN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…