Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
pole sana ndugu yangu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wana JF,nimefiwa na mtoto jana Muhimbili hospital.
Mazishi ni leo saa7 mchana,msiba upo banana ukonga!
Inatia sana uchungu!...Inagharimu kuwa na mtoto kuonja bitterness anayoipata Spika.
Spika, amini kuwa ni mpango wa Mungu, hata kama ulikumbana na maswahibu ya kukatisha tamaa kule muhimbili.
Naamini watu wa Dar wataungana nawe katika kukufariji na kukutia moyo, japo hadi muda huu sijaona aliyeweka wazi.
Mungu akupe ujasiri wa pekee kukabiliana na wimbi hili zito la kibinadamu, na ailaze pema roho ya marehemu mwanao.