Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,385
- 10,659
Nadhani majibu yake ni mepesi sana.Suala la fedha za join the chain litawachafua sana cdm. Huyu ni kiongozi mwingine wa cdm anashindwa kutoa majibu ya kuridhisha kuhusu fedha za join the chain.
Suala la kusema Tumekusanya Tsh 511M, tukatumia 490M kwa kazi (wataje) na zimebaki 21M inawashinda nn?
Hiyo akili ya kujizungusha zungusha ndo inaleta maswali yanayoonesha udhaifu wa CDM