uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Lema na sugu ni washamba waliotoboa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lema ametoba kivipi wakati famili yake inalelewa na wahisani kule majuu?Lema na sugu ni washamba waliotoboa
Hizo weakness zote ulizotaja halafu useme ana akili na iq kubwa?
Watu wenye majivuno Wengi 'hawana akili'...
Lema ni mganga njaa ...aliekuwa street thug akaja kudondokea kwenye siasa...Hana cha ajabu zaidi ya kuwa mkosoaji Tu kama wakosoaji wengine...
Kukosoa hakukufanyi kuwa kiongozi...
Lema..ni overrated Sana na wanachadema
Unamzidi?Ni kweli yes sasa Sugu ana ubilionea gani bwana wewe?
Kwa mbali mnooo ,kile kihotel pale mbeya ndio kinamfanya awe bilionareUnamzidi?
Lumumba fc bwana.......shukuru social Media zinatufichia aibu.Kwa mbali mnooo ,kile kihotel pale mbeya ndio kinamfanya awe bilionare
Niliwahi mwambia Lema live kuwa apunguze arrogance maana inampelekea kuonekana mtoto!•Lema ni mwanasiasa mzuri Sana lakini apunguze ego.
• Lema afuate protocol za interview kumpa nafasi muongoza kipindi ili mahojiano yaende Kwa mtiririko unaofaa badala ya kutaka kuongea yeye tu kama chiriku anaharibu.
• Lema amebarikiwa akili na upeo mkubwa Sana lakini amenyimwa kipawa cha kuwa statesman kama Mungu alivyombariki Freeman Mbowe ( huyu mtu ni next level super diplomatic figure)
• Lema na Sugu ni vijana wenye talent inayolinganga kwenye IQ lakini pia Wana shida zinazofanana at least Lema huwa hawalingishii nguo na Miwani ya gharama Watanzania maskini hii ni shida ya Sugu peke yake, point hapa Lema ajifunze unyenyekevu na ajijuwe yeye ni binadamu pia ana mapungufu yake.
Kwa mliofuatilia intervie Ile Jana usiku Jumamosi mnaweza kuongezea ili kumjenga na kumuweka sawa Lema, ni kijana smart Sana kichwani ila tatizo nalioña ana over confidence kubwa ambayo mtu makini akikusikiliza ni tatizo pia unaweza ku-abuse authority nyingine bila kujua huku ukidhani unatumia freedom of speech.
Acha upimbi mkuu,unatia kinyaa kwa kuamini kuwa mmiliki wa hotel isizidi vyumba vya kulala 30 nae ni milionaireLumumba fc bwana.......shukuru social Media zinatufichia aibu.
Lema ana akili kubali ama ukatae.Hizo weakness zote ulizotaja halafu useme ana akili na iq kubwa?
Watu wenye majivuno Wengi 'hawana akili'...
Lema ni mganga njaa ...aliekuwa street thug akaja kudondokea kwenye siasa...Hana cha ajabu zaidi ya kuwa mkosoaji Tu kama wakosoaji wengine...
Kukosoa hakukufanyi kuwa kiongozi...
Lema..ni overrated Sana na wanachadema
Wewe umeishi UVCCM miaka yote una nini cha maana?Kwa mbali mnooo ,kile kihotel pale mbeya ndio kinamfanya awe bilionare
Nina wasiwasi na kisomo chako aiseeLema ana akili kubali ama ukatae.
Zile karatasi za Bavicha zimeshikwa na msukule wa mzee MboweNiliwahi mwambia Lema live kuwa apunguze arrogance maana inampelekea kuonekana mtoto!
Bora hili nawewe umeliona halafu hawezi kuchuja mambo kiasi cha kumfanya aonekane mropokaji. Ana hoja mzuri shida namna ya uwasilishaji na si rahisi mtu mwenye upeo kumvumilia kumsikiliza.
Sugu nafikiri kimo kinamsumbua, sio peke yake watu wengi wa kimo chake huwa na hizo mambo ili kuwafanya wajisikie wapo na wao. Ktk maisha binafsi Sugu ana utoto mwingi sana wa kutafuta attention.
Yote kwa yote ni vijana wazuri kulinganisha na takataka zilizoko UVCCM.
Umenikumbusha hii thread: SoC03 - Unyenyekevu Sio Utumwa, Unyenyekevu ni Busara katika Uongozi; Msidharau Sauti za Watu, Msidharau Vilio vya Watu, WasikilizeniLema ajifunze unyenyekevu na ajijuwe yeye ni binadamu pia ana mapungufu yake.
Ile ni Lodge tu hata Kahama huku watu wanazo na hawana makelele!Kwa mbali mnooo ,kile kihotel pale mbeya ndio kinamfanya awe bilionare
•Lema ni mwanasiasa mzuri Sana lakini apunguze ego.
• Lema afuate protocol za interview kumpa nafasi muongoza kipindi ili mahojiano yaende Kwa mtiririko unaofaa badala ya kutaka kuongea yeye tu kama chiriku anaharibu.
• Lema amebarikiwa akili na upeo mkubwa Sana lakini amenyimwa kipawa cha kuwa statesman kama Mungu alivyombariki Freeman Mbowe ( huyu mtu ni next level super diplomatic figure)
• Lema na Sugu ni vijana wenye talent inayolinganga kwenye IQ lakini pia Wana shida zinazofanana at least Lema huwa hawalingishii nguo na Miwani ya gharama Watanzania maskini hii ni shida ya Sugu peke yake, point hapa Lema ajifunze unyenyekevu na ajijuwe yeye ni binadamu pia ana mapungufu yake.
Kwa mliofuatilia intervie Ile Jana usiku Jumamosi mnaweza kuongezea ili kumjenga na kumuweka sawa Lema, ni kijana smart Sana kichwani ila tatizo nalioña ana over confidence kubwa ambayo mtu makini akikusikiliza ni tatizo pia unaweza ku-abuse authority nyingine bila kujua huku ukidhani unatumia freedom of speech.
Umedadavuwa vyema, binafsi sina tatizo na matumizi ya pesa Kwa Chama ambacho hakina dola kama Chadema...Lema alikuwa sahihi kumkatiza muongoza kipindi. waongoza vipindi na waandishi wa habari wengi wanatumika na CCM, hivyo Chadema wanapokwenda ktk mahojiano ni lazima watumie mbinu za ziada ili kuzuia upotoshaji unaoweza kufanywa na waongoza vipindi.
..uko sahihi kuhusu Lema kuwa loose sana na kauli zake kuhusu pesa, kipato, na biashara. Jamii ya Kitanzania inapenda watu ambao ni humble kidogo ktk masuala hayo.
..Lingine ni kwamba ni lazima kiongozi yeyote wa Chadema anayekwenda kwenye mahojiano awe na majibu mazuri zaidi kuhusu mambo ya chama na haswa mapato na matumizi ya fedha za chama. Lema hakuwa na majibu mazuri yenye ushawishi.
..La mwisho ni kwamba viongozi wa Chadema huulizwa maswali magumu kuhusu fedha kuliko hata viongozi wa serikali wanaokusanya kodi za wananchi.
Hizo weakness zote ulizotaja halafu useme ana akili na iq kubwa?
Watu wenye majivuno Wengi 'hawana akili'...
Lema ni mganga njaa ...aliekuwa street thug akaja kudondokea kwenye siasa...Hana cha ajabu zaidi ya kuwa mkosoaji Tu kama wakosoaji wengine...
Kukosoa hakukufanyi kuwa kiongozi...
Lema..ni overrated Sana na wanachadema
Kisomo kinahusiana vipi na intelligent? Uvccm bure kabisa ubongo umejaa makamasi mnachoweza ni uchawa tu.Nina wasiwasi na kisomo chako aisee