Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi Makonda ni genius. Umefurahi sasa?Hizo weakness zote ulizotaja halafu useme ana akili na iq kubwa?
Watu wenye majivuno Wengi 'hawana akili'...
Lema ni mganga njaa ...aliekuwa street thug akaja kudondokea kwenye siasa...Hana cha ajabu zaidi ya kuwa mkosoaji Tu kama wakosoaji wengine...
Kukosoa hakukufanyi kuwa kiongozi...
Lema..ni overrated Sana na wanachadema
•Lema ni mwanasiasa mzuri Sana lakini apunguze ego.
• Lema afuate protocol za interview kumpa nafasi muongoza kipindi ili mahojiano yaende Kwa mtiririko unaofaa badala ya kutaka kuongea yeye tu kama chiriku anaharibu.
• Lema amebarikiwa akili na upeo mkubwa Sana lakini amenyimwa kipawa cha kuwa statesman kama Mungu alivyombariki Freeman Mbowe ( huyu mtu ni next level super diplomatic figure)
• Lema na Sugu ni vijana wenye talent inayolinganga kwenye IQ lakini pia Wana shida zinazofanana at least Lema huwa hawalingishii nguo na Miwani ya gharama Watanzania maskini hii ni shida ya Sugu peke yake, point hapa Lema ajifunze unyenyekevu na ajijuwe yeye ni binadamu pia ana mapungufu yake.
Kwa mliofuatilia intervie Ile Jana usiku jumamosi mnaweza kuongezea ili kumjenga na kumuweka sawa Lema, ni kijana smart Sana kichwani ila tatizo nalioña ana over confidence kubwa ambayo mtu makini akikusikiliza ni tatizo pia unaweza ku-abuse authority nyingine bila kujuwa huku ukidhani unatumia freedom of speech.
Sawa! Lakini science negates that thinking,not at a gene levelSince the beginning of the planet (the Earth) till now, there have been a significant changes (transformations) on the Earth! Human and animals have been changing the patterns of living, including the age!
This is because the living things (including plants) were subjected to different phases of the environment in which they were living, due to changes on the earth, including climatic changes.
As the earth was keeping changes, so the living things on it! Even the sizes of the then living things were quite different from those we see to date.
I hope you have heard that there was a reptile specie which had a length of 12M, taken by Germans (our country is in constant demand of it), but we don't have such animals today. This is due to changes happening on the earth.
Therefore, we can say that the changes on the earth are the stimuli to changes of living things on it! These changes include the living age!
Sawa mondi ndy bilioneaSugu Mr too proud ni shida sana anajifanya bilionea eti wakati ni WA kawaida sana
Sasa kipi bora; kufuata sayansi au uhalisia.Sawa! Lakini science negates that thinking,not at a gene level
Ushauri wako utafanyiwa kazi•Lema ni mwanasiasa mzuri Sana lakini apunguze ego.
• Lema afuate protocol za interview kumpa nafasi muongoza kipindi ili mahojiano yaende Kwa mtiririko unaofaa badala ya kutaka kuongea yeye tu kama chiriku anaharibu.
• Lema amebarikiwa akili na upeo mkubwa Sana lakini amenyimwa kipawa cha kuwa statesman kama Mungu alivyombariki Freeman Mbowe ( huyu mtu ni next level super diplomatic figure)
• Lema na Sugu ni vijana wenye talent inayolinganga kwenye IQ lakini pia Wana shida zinazofanana at least Lema huwa hawalingishii nguo na Miwani ya gharama Watanzania maskini hii ni shida ya Sugu peke yake, point hapa Lema ajifunze unyenyekevu na ajijuwe yeye ni binadamu pia ana mapungufu yake.
Kwa mliofuatilia intervie Ile Jana usiku Jumamosi mnaweza kuongezea ili kumjenga na kumuweka sawa Lema, ni kijana smart Sana kichwani ila tatizo nalioña ana over confidence kubwa ambayo mtu makini akikusikiliza ni tatizo pia unaweza ku-abuse authority nyingine bila kujua huku ukidhani unatumia freedom of speech.
Ile interview ni ya kibabe.•Lema ni mwanasiasa mzuri Sana lakini apunguze ego.

Lema angekuwa na akili angeacha mker majuu na kuja kupiga debe kwa ajili ya kufukuzia ubunge?•Lema ni mwanasiasa mzuri Sana lakini apunguze ego.
• Lema afuate protocol za interview kumpa nafasi muongoza kipindi ili mahojiano yaende Kwa mtiririko unaofaa badala ya kutaka kuongea yeye tu kama chiriku anaharibu.
• Lema amebarikiwa akili na upeo mkubwa Sana lakini amenyimwa kipawa cha kuwa statesman kama Mungu alivyombariki Freeman Mbowe ( huyu mtu ni next level super diplomatic figure)
• Lema na Sugu ni vijana wenye talent inayolinganga kwenye IQ lakini pia Wana shida zinazofanana at least Lema huwa hawalingishii nguo na Miwani ya gharama Watanzania maskini hii ni shida ya Sugu peke yake, point hapa Lema ajifunze unyenyekevu na ajijuwe yeye ni binadamu pia ana mapungufu yake.
Kwa mliofuatilia intervie Ile Jana usiku Jumamosi mnaweza kuongezea ili kumjenga na kumuweka sawa Lema, ni kijana smart Sana kichwani ila tatizo nalioña ana over confidence kubwa ambayo mtu makini akikusikiliza ni tatizo pia unaweza ku-abuse authority nyingine bila kujua huku ukidhani unatumia freedom of speech.
Huna akili, hakuna mtu mwenye akili timamu unaweza kuitowa familia yako wanapoishi binadamu uwalete motoni.Lema angekuwa na akili angeacha mker majuu na kuja kupiga debe kwa ajili ya kufukuzia ubunge?
Lema na sugu ni over 50 hakuna kijana wa umri huu rekebisha andiko•Lema ni mwanasiasa mzuri Sana lakini apunguze ego.
• Lema afuate protocol za interview kumpa nafasi muongoza kipindi ili mahojiano yaende Kwa mtiririko unaofaa badala ya kutaka kuongea yeye tu kama chiriku anaharibu.
• Lema amebarikiwa akili na upeo mkubwa Sana lakini amenyimwa kipawa cha kuwa statesman kama Mungu alivyombariki Freeman Mbowe ( huyu mtu ni next level super diplomatic figure)
• Lema na Sugu ni vijana wenye talent inayolinganga kwenye IQ lakini pia Wana shida zinazofanana at least Lema huwa hawalingishii nguo na Miwani ya gharama Watanzania maskini hii ni shida ya Sugu peke yake, point hapa Lema ajifunze unyenyekevu na ajijuwe yeye ni binadamu pia ana mapungufu yake.
Kwa mliofuatilia intervie Ile Jana usiku Jumamosi mnaweza kuongezea ili kumjenga na kumuweka sawa Lema, ni kijana smart Sana kichwani ila tatizo nalioña ana over confidence kubwa ambayo mtu makini akikusikiliza ni tatizo pia unaweza ku-abuse authority nyingine bila kujua huku ukidhani unatumia freedom of speech.
Kwa hiyo wewe unaona ni sawa kwa Lema kmwacha wife kwa wazungu wafaidi tu basiHuna akili, hakuna mtu mwenye akili timamu unaweza kuitowa familia yako wanapoishi binadamu uwalete motoni.
Hata mimi nikishangaa aise eti Sugu ni kijana ? Lema ana mtoto anaekaribi kuolewa nae ni kijana?Lema na sugu ni over 50 hakuna kijana wa umri huu rekebisha andiko
Ni kweli yes sasa Sugu ana ubilionea gani bwana wewe?Sawa mondi ndy bilionea
Na wakata mauno wengine
Wanaotoboa pua na kuvaa cheni miguuni
Ova
Maskini siku zote ndio anawaza ngono, kuna muda watu wanawaza maendeleo, hivyo ni vikojoleo Tu na viungo vya uzazi.Kwa hiyo wewe unaona ni sawa kwa Lema kmwacha wife kwa wazungu wafaidi tu basi
Lema na Sugu ni vijana.Hata mimi nikishangaa aise eti Sugu ni kijana ? Lema ana mtoto anaekaribi kuolewa nae ni kijana?
Kwa hiyo Lema kaiga ujinga wa kutekeleza familia kisa ni siasa za kutaka ubunge ambayo kimsingi ndio ajira kuu ya mzee LemaMaskini siku zote ndio anawaza ngono, kuna muda watu wanawaza maendeleo, hivyo ni vikojoleo Tu na viungo vya uzazi.
Naibu Spika Zungu kitambo Sana Mke wake anaishi Uingereza yeye miaka yote anaishi kwenye apartment town kibachela tu.
Kenge wa CDM wanaamini kuwa huyu LEMA ni Mungu🙆♂️🙆♂️🙆♂️Lema alijipa cheo cha unabii na sasa kajipa uungu. Ukimkera anakuambia UTAKUFA. Ni mtu mpuuzi peke yake anaweza kumwona Lema ana akili.