Nimefuatilia na kujiridhisha kwamba SUKUMA GANG twende na Tundu Lissu hakika 2025 tunachukua dola

Tundu Lisu akitubu na kwenda Chato kumlilia Magufuli kwenye kaburi lake ,tutamkubali
Tundu Lissu hakuwahi kumkosea lolote Magufuli bali Magufuli ndiye alimkosea Lissu kwa kutuma watu wamuue. Lakini Lissu mwenyewe alishamsamehe Magufuli hata kabla mauti hayajamkuta. Tusipoteze focus, wote tukatae kuuzwa utumwani kwa kumrudisha Sultan kwa mlango wa nyuma.
 

Sio kwa njia ya kura. Kwenda kusimama kwenye mstari wa box la kura ni kupoteza muda.
 
Hata mungeenda na Putin sijui Obama kamwe hamuwezi kupata Urais .
 
Kupiga kura na kuzilinda ?
Narudia tena, kwenda kusimama kwenye mstari wa kura kwa mwanaume anayejitambua ni kupoteza muda. Tutafute njia nyingine, hiyo ya kura ni kufanyana wajinga. Hiyo njia nyingine itatuacha wengi na maumivu, lakini ndio njia sahihi kwa sasa.
 
Ni mivutano ya kisiasa
 
Wewe RNA bila shaka ndiwe pia Kulwa Jilala au siyo?

Kuna bandiko hili 👇👇👇


Maudhui yake na mwandiko neno kwa neno, paragraph Kwa paragraph inafanana na la kwako kasoro heading tu

Mmekosea wapi? Na kwanini mnafanya hivi? Dhamira yenu ni nini? Mnalipwa kwani? Au ndo uzalengo uchwara huu,?
 
Sawa, ila mpaka aende Chato kupata baraka kwanza.
 
Any of that does not matter. ALL of that is irrelevant.

It is time, CCM as we know it today, has to GO under any circumstance you can imagine.
Under any circumstance without having a plan? How will that be accomplished mkuu?🤔
 
Under any circumstance without having a plan? How will that be accomplished mkuu?🤔
"By any means necessary."
This is no cliche'.

Anything is better than having CCM continue in power.

Plan? We will have a plan as we move along.
For starters, we will borrow CHADEMA's "plan" of there being "no elections in 2024/25"; if for any reason they fail to take the leadership role in implementing it.
 
Sio kwa njia ya kura. Kwenda kusimama kwenye mstari wa box la kura ni kupoteza muda.
Safari hii ni tofauti kabisa na nyakati nyingine zote zilizokwishapita.
"Njia ya Kura" na kuhakikisha kura inahesabika. Zoezi hilo likitishiwa, hiyo njia nyingine uliyonayo kwenye mawazo siku nyingi itafuata kwa haki kabisa, na mwenyekulaumiwa atakuwa huyo aliyezoea kuchezea kura za wananchi.

Ni lazima pawepo na pakuanzia, kabla ya kufikia huko kwenye njia yako.
 
Njia ya kura imeshashindikana, kuendelea kushiriki hizo chaguzi ni kutegemea matokeo tofauti kwa njia zilezile. Kwa Sasa vyombo vya dola ndio kinga ya CCM kuendelea kukaa madarakani. Mfano mrahisi ni juzi maandamano ya kuuzwa kwa bandari yetu.
 
Njia ya kura imeshashindikana, kuendelea kushiriki hizo chaguzi ni kutegemea matokeo tofauti kwa njia zilezile. Kwa Sasa vyombo vya dola ndio kinga ya CCM kuendelea kukaa madarakani. Mfano mrahisi ni juzi maandamano ya kuuzwa kwa bandari yetu.
"Mfano" mzuri kabisa huu ulioutumia.

Kwa hiyo, hoja yangu ni kuwa hii "dola" ndio watakao lianzisha wakati wa uchaguzi. Hii itakuwa ni sababu halali kabisa ya kuelekea kwenye hatua ya mawazo yako.

Hili la "kususa" kabisa kupiga kura, huku CCM ikhesabu kura zilizofutikwa kwenye masanduku ya kura na kupata ushindi itatufikisha wapi?
 
Do you think having CHADEMA's plan of "NO ELECTION IN 2024/25" will work effectively as all cohesive forces support CCM? For me, I think We should first have the whole country's massive demonstration to demand for some REFORMATIONS in Constitution and electoral Committee. By doing that, might be awakening call for international institutions to support Tanzanian citizens.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…