Nimefuatilia na kujiridhisha kwamba SUKUMA GANG twende na Tundu Lissu hakika 2025 tunachukua dola

Nimefuatilia na kujiridhisha kwamba SUKUMA GANG twende na Tundu Lissu hakika 2025 tunachukua dola

Wewe RNA bila shaka ndiwe pia Kulwa Jilala au siyo?

Kuna bandiko hili 👇👇👇

Maudhui yake na mwandiko neno kwa neno, paragraph Kwa paragraph inafanana na la kwako kasoro heading tu

Mmekosea wapi? Na kwanini mnafanya hivi? Dhamira yenu ni nini? Mnalipwa kwani? Au ndo uzalengo uchwara huu,?
Haiko hivyo na haijawahi tokea
 
Habari,

Binafsi nlikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la Kushambuliwa Tundu lissu.

Alichokifanya Tundu lissu katika mazingumzo haya hapa chini kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM pili ni mzalendo wa kweli.

View attachment 2671785

Binafsi nimemfuatilia kwa muda mrefu/ nimejiridhisha na kukubaliana na Baadhi ya wazalendo kwamba twende na Tundu Lissu 2025 popote alipo.​
Tundu Lissu HAWEZI kamwe kumkubali mtu aliyetaka KUMTOA UHAI wake kwa rosasi 16 alizomiminiwa mwilini.

Kama ametumia jina Magufuli kwenye maneno yake basi ametumia ili kujenga hoja anayotaka kuifikisha kwenye hadhira aliyoilenga
 
Wenye akili washa elewa na Tundu Lissu katambua Jpm sio mbaya wake ,Sisi S gang tuko pamoja nae
 
Namna pekee na nzuri zaidi kwa upinzani kuchukua dola ni muungano wa vyama husika na kumsimamisha mgombea makini.
 
Uncle Kulwa Jilala ashageuka naye anamtaka Lissue, wakati CCM tuna watu nguli kama, Lusinde, Phd Msukuma, Deo Sanga, Mwijaku, Tivu ake, Maulidi Kitenge, Zembwela.
🤣🤣🤣🤣
 
Lissu HAPANA
Atafutwe mgombea mwingine atakae tuunganisha wote
 
Thu
Habari,

Binafsi nlikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la Kushambuliwa Tundu lissu.

Alichokifanya Tundu lissu katika mazingumzo haya hapa chini kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM pili ni mzalendo wa kweli.

View attachment 2671785

Binafsi nimemfuatilia kwa muda mrefu/ nimejiridhisha na kukubaliana na Baadhi ya wazalendo kwamba twende na Tundu Lissu 2025 popote alipo.​
Thubutu. Msidanganywe na mitandao. Mama anakubalika kila pembe ya nchi. Wakulima huwezi kuwaambia kuhusu mama. Leo nipo hapa singida wakulima wa alzeti na mbaazi wanasema mama aongoze mpaka anifie mwenyewe mana mbaazi Sasa zina soko la uhakika na alzeti pia wakati mazao hayo jpm aliua yote kwa ubabe. Ajira zipo kila Kona ambapo alitengeneza machinga tu kila Kona ya nchi. Vijana wakigeuka nyuma tu Kuna ajira kote serikalini na private sector na wafanyakazi wanaongezewa mishahara Yao kila mwaka kitu ambacho jpm hajawahi fanya. Hivyo usidanganywe na mitandao
 
Back
Top Bottom