Wewe
RNA bila shaka ndiwe pia
Kulwa Jilala au siyo?
Kuna bandiko hili πππ
Binafsi nilikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la kushambuliwa Tundu Lissu. Alichokifanya Tundu Lissu katika mazungumzo ya ufisadi wa bandari ya Dares salaam kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM...
Maudhui yake na mwandiko neno kwa neno, paragraph Kwa paragraph inafanana na la kwako kasoro heading tu
Mmekosea wapi? Na kwanini mnafanya hivi? Dhamira yenu ni nini? Mnalipwa kwani? Au ndo uzalengo uchwara huu,?