johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
KasahauGwajima ni miongoni mwa waliokuwa wasaidizi wa Ummy.
Tumlaumu Gwajima kwa kutomsaidia na kumshauri Ummy ipasavyo
Hata Ummy walikuwa wanasema anachapa sana kazi.Gwajima ni miongoni mwa waliokuwa wasaidizi wa Ummy.
Tumlaumu Gwajima kwa kutomsaidia na kumshauri Ummy ipasavyo
Ngoja tuone!Ummy Mwalimu alifanya kazi nzuri sana, ktk sekta ya afya ukikaripia watumishi tegemea madudu zaidi kama unabisha tumpe muda Dr Gwajima
Hii ndio staili ya vigelegeleHata Ummy walikuwa wanasema anachapa sana kazi.
Anasifiwa aliyepo.Hii ndio staili ya vigelegele
Hao ndio CCM, wanafiki balaa na hawanaga hata mshipa wa aibuGwajima ni miongoni mwa waliokuwa wasaidizi wa Ummy.
Tumlaumu Gwajima kwa kutomsaidia na kumshauri Ummy ipasavyo
Aliyepita hana thamani tenaAnasifiwa aliyepo.
Huenda wewe ndie Gwajima au mtu wake wa karibu mno!
Ummy alifanya makubwa sana ktk sekta ya afya...
Makubwa ya Ummy Mwalimu ni yepi bwashee!Huenda wewe ndie Gwajima au mtu wake wa karibu mno!
Ummy alifanya makubwa sana ktk sekta ya afya....
Huo uhaba wa dawa una zaidi ya miaka sasa. Hivi wafahamu pamoja na Serikali kujinasibu kuongeza bajeti ya dawa lakini kiuhalisia hiyo bajeti haitoki? Hivi unafahamu kwa zaidi ya miaka 2 Serikali haikupeleka pesa ya kununua dawa kutoka Hazina kwenda kwenye Zahanati, Vituo vya Afya na Hospitali? Hizo dawa zingenunuliwa kwa pesa ipi?Kila eneo analopita waziri wa afya Dr Gwajima katika ziara zake mikoani ni vilio tu, wananchi wanalalamikia Huduma hafifu, uhaba wa dawa nk...
Sio kweli, Gwajima alikuwa naibu katibu mkuu TamisemiGwajima ni miongoni mwa waliokuwa wasaidizi wa Ummy.
Tumlaumu Gwajima kwa kutomsaidia na kumshauri Ummy ipasavyo
Sasa Ummy Mwalimu angetoa hela yake kununua madawa kaka anguKila eneo analopita waziri wa afya Dr Gwajima katika ziara zake mikoani ni vilio tu, wananchi wanalalamikia Huduma hafifu, uhaba wa dawa nk....nk
Kiukweli hii wizara ina madudu mengi sana na sielewi waziri aliyetangulia Da Ummy Mwalimu na wasaidizi wake walikuwa wanafanya kazi gani!?
Chapa kazi Dr Gwajima wananchi tuko nyuma yako.
Maendeleo hayana vyama!