Nimefuatilia ziara ya waziri Gwajima mikoani, kiukweli madudu ni mengi. Yule Ummy alikuwa anapiga siasa tu!

Nimefuatilia ziara ya waziri Gwajima mikoani, kiukweli madudu ni mengi. Yule Ummy alikuwa anapiga siasa tu!

Huyo Gwajima unaemsifia alikuwa Mlurugenzi wa Tiba miaka mingi, baadae akaja kuteuliwa Naibu Katibu Mkuu Tamisemi upande wa Afya akiwa kama Mtendaji alipaswa kuwa kishashughulikia kwa kuwa ndio wajibu wake Mkuu

Inakuaje leo ndio aone matatizo hayo

Labda kwa kuwa Naibu Katibu Mkuu hana fursa ya kutembea na Vyombo vya habari!

Wizi wa Dawa hauwezi kumalizwa kwa Ziara za kustukiza

Kuna Wazalendo pale walipendekeza MSD (bohari kuu ya dawa) ikiagiza dawa nje zipigwe chapa kabisa ya (GOT) i.e Goverment of Tanzania ikimaanisha kama sabuni inawezekana kupigwa chapa ya mbuni au mshindi au protex kwny mche kwanini ishindikane kwa vidonge wakati huwa vinatenezwa kwa order kubwa viwandani, dawa za chupa nazo zipigwe nembo ya Serikali

Hii ingezuiwa wizi wa dawa kwa kuwa tungeikuta pharmacy au hospital binafsi tungeijua kuwa imetokea Serikalini, …waliotoa ba kutaka kuteleleza wazo hilo nadhan wangeweza kuhadithia fitna waliyopigwa baada ya wazo hilo

Miaka ya mwanzo ya 1990s niliwahi kuzuru Kiwanda cha Cement cha Twiga, vioo vilivyowekwa vyooni vyote viliandikwa 'Kioo hiki kimeibiwa Wazo hill'

yale Maandishi yalisaidia sana kuzuia wizi wa vioo vile!
Nadhani mpandisha uzi hajui hasa kazi na majukumu ya katibu mkuu. Yeye anakaa kwenye keyboard kusifia tu
 
Kwa taarifa yako Serikali ya Magufuli imepeleka Fedha nyingi MSD kuliko kipindi chohote toka nchi ipate UHURU mwaka 1961. Kati ya July 2016 Hadi Mei 2019 Hazina walipeleka Tsh 314 Bilioni sawa na Tsh 104 Bilioni kwa mwaka. Mwaka 2015/16 wakati Serikali ya JK inaondoka walipeleka Tsh 30 Bilioni.

Katika historia ya MSD kipindi cha UMMY Mwalimu tulijionea kwa mara ya kwanza Waziri akiwa na mahusiano ya karibu sana na Mkurugenzi wa MSD Laurean Bwanakunu. Walikuwa na mahusiano ya kingono na kugawana Fedha kwa kupitia kwa Katwaza wa Bahari Pharmacy ambaye walikuwa wanampa mikataba mingi ya ku-supply dawa hasa vile vifaa vya kits za kujifungulia akina mama.

Haya ninayoyasema siyo majungu yako kwenye Ripoti ya Katibu Mkuu Hazina kutokana na special audit ya October 2019- February 2020. Na matokeo ya Special Audit hiyo ndiyo Rais JPM aliweza kumtumbua Bwanakunu kutoka nafasi ya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa MSD. Na hatimaye kufunguliwa mashtaka ya kuhujumu uchumi na TAKUKURU.

Mtaji wa MSD umekatika kabisa kwa vile kipindi cha Bwanakunu wamekuwa wananunua dawa zenye muda mfupi toka nje ya nchi hivyo basi kuna mrundikano wa madawa yapatayo Bilioni zaidi ya 30 ambayo yame EXPIRE.

Kwa mwaka 2019/20 kweli Serikali haikupeleka Fedha kwa kuwa ilikuwa inataka ijiridhishe kwa nini mtaji unaporomoka.

Lakini Bwanakunu hakupaswa kutumbuliwa peke yake bali hata Waziri UMMY Mwalimu alipaswa atumbuliwe pia. Nashangaa DOUBLE STANDARDS za JPM kumuacha na kumfanya Waziri wa Mazingira na Muungano.

Kama MSD imefeli na wamegundua tatizo Ni Mkurugenzi Mkuu basi na Waziri anahusika kwa vile alikuwa ANAMLINDA. Kama Tume ingekuwa imeundwa na UMMY Mwalimu na kugundua mauza uza ya Bwanakunu Basi Waziri angekuwa hana hatia. Lakini Tume iliundwa na Dotto James, Katibu Mkuu Hazina

Tumuache Dr Dorothy Gwajima afanye kazi, kamwe tusimfananishe na UMMY Mwalimu.
Alaaah! Kumbe
 
This is madness!

Nilimuona Ummy kama mtendaji muadilifu sana!

Binaadam kama Binaadam!
Hakuna kitu pale zaidi ya kuficha data za COVID 19. Naye aliitumia MSD kujiatia fedha za kujijenga kisiasa kwenye Jimbo la Tanga Mjini. Unadhani fedha alizokuwa anawafadhili Coastal Union au alizotumia kununua mashamba pale Korogwe alipata wapi? Yote ni michongo ya Bwanakunu na Bahari Pharmacy
 
Kila eneo analopita waziri wa afya Dr Gwajima katika ziara zake mikoani ni vilio tu, wananchi wanalalamikia Huduma hafifu, uhaba wa dawa nk.

Kiukweli hii wizara ina madudu mengi sana na sielewi waziri aliyetangulia Da Ummy Mwalimu na wasaidizi wake walikuwa wanafanya kazi gani!?

Chapa kazi Dr Gwajima wananchi tuko nyuma yako.

Maendeleo hayana vyama!
Wewe unafikiri Gwajima alikuwa wapi? In short walikuwa wote, kama msaidizi wa Ummy. Siasa na uhalisia ni vitu viwili TOFAUTI, wanasiasa hulazimisha vitu ambavyo haiwezekani kiutendaji ili kupata sifa za kisiasa.
 
Kuna Wazalendo pale walipendekeza MSD (bohari kuu ya dawa) ikiagiza dawa nje zipigwe chapa kabisa ya (GOT) i.e Goverment of Tanzania ikimaanisha kama sabuni inawezekana kupigwa chapa ya mbuni au mshindi au protex kwny mche kwanini ishindikane kwa vidonge wakati huwa vinatenezwa kwa order kubwa viwandani, dawa za chupa nazo zipigwe nembo ya Serikali
Eeenh, kiwanda gani hicho mkuu kinachoweza kufanya kazi kama hiyo - Keko Pharmaceuticals au kile cha Madabida kule Arusha, au hivi vya wahindi Mwanza, ..., na wapi sijui?
Cipla, kule India au hapo Uganda, mtawalipa gharama za kazi hiyo?

Na huko kwingine kama Pfizer na wengine hata usiote ndoto mbaya kama hiyo ukawapelekea huko.
Miaka ya mwanzo ya 1990s niliwahi kuzuru Kiwanda cha Cement cha Twiga, vioo vilivyowekwa vyooni vyote viliandikwa 'Kioo hiki kimeibiwa Wazo hill
Hii ni tofauti sana na hilo wazo la mwanzo.
 
Kwa hiyo unadhani wizi wa dawa utamalizwa kwa ziara za kustukiza na mashushu kwa Maafisa unaowakuta?

Ukipinga wazo unakuja na wazo mbadala, ndio maana ya constructive critism
Eeenh, kiwanda gani hicho mkuu kinachoweza kufanya kazi kama hiyo - Keko Pharmaceuticals au kile cha Madabida kule Arusha, au hivi vya wahindi Mwanza, ..., na wapi sijui?
Cipla, kule India au hapo Uganda, mtawalipa gharama za kazi hiyo?

Na huko kwingine kama Pfizer na wengine hata usiote ndoto mbaya kama hiyo ukawapelekea huko.

Hii ni tofauti sana na hilo wazo la mwanzo.
 
Kwa hiyo unadhan wizi wa dawa utamalizwa kwa ziara za kustukiza na mashushu kwa Maafisa unaowakuta?

Ukipinga wazo unakuja na wazo mbadala, ndio maana ya constructive critism
Hapana.
Sidhani kuwa "wizi wa dawa utamalizwa kwa ziara za kustukiza,..." na wala sikupendekeza hapo kuwa hiyo ndiyo njia.

Nililojibu ni hiyo njia uliyopendekeza, ambayo sio 'practical'.

Wizi wa dawa sio tofauti na wizi wa pesa na mali nyingine za thamani. Hivi haviwekewi 'nembo' maalum kuzuia wizi huo. Kuna njia sahihi zinazojulikana na kutumika kuzia wizi huo. Kwa nini baadhi ya njia hizo zisitumike kuzuia/kupunguza wizi wa dawa?
Au unataka niorodheshe kabisa hizo njia?
 
Katika historia ya MSD kipindi cha UMMY Mwalimu tulijionea kwa mara ya kwanza Waziri akiwa na mahusiano ya karibu sana na Mkurugenzi wa MSD Laurean Bwanakunu. Walikuwa na mahusiano ya kingono na kugawana Fedha kwa kupitia kwa Katwaza wa Bahari Pharmacy ambaye walikuwa wanampa mikataba mingi ya ku-supply dawa hasa vile vifaa vya kits za kujifungulia akina mama.
Hapo kwenye bold mkuu, ulitaka wewe ndiye uingiziwe muhogo wa Jang'ombe?
 
Wewe unafikir Gwajima alikuwa wapi? In short walikuwa wote, kama msaidizi wa ummy. Siasa na uhalisia ni vitu viwil TOFAUT, wanasiasa hulazimisha vitu ambavyo haiwezekan kiutendaji ili kupata sifa za kisiasa.
Usiandike vitu ambavyo huna uhakika navyo. Dr Gwajima aliwahi kuwa Director wa Hospital Services Hadi 2019 wakati Ummy akiwa Waziri wa Afya. Kwa hiyo yeye alikuwa anaripoti kwa Katibu Mkuu Mpoki Ulisubisya.

Alipokuwa Naibu KM Tamisemi kuanzia 2019 alikuwa chini ya Waziri Jaffo. Usimhusishe Dr. Gwajima na uozo wa Ummy
 
Hapo kwenye bold mkuu, ulitaka wewe ndiye uingiziwe muhogo wa Jang'ombe?
Nimekupa hiyo ili uone kwa nini Waziri alifumba macho mpaka Taasisi ikafirisika kuwa ukichanganya mapenzi na ufisadi kwenye kazi za umma huwezi kumsimamia SUBORDINATE wako
 
Naibu Katibu Tamisemi anayeshughulikia Afya ..kwa njia moja au nyingine automatIcally anamsaidia Waziri wa Afya
Hakuna automatically kwenye madaraka. Waziri wa afya anawajibika kwa kutengeneza sera za afya, mafunzo, usimamizi wa hospitali maalum na za rufaa na bajeti ya Fedha.

Wizara ya TAMISEMI inashughulikia utekelezaji wa sera ya afya na maagizo kwenye vituo vya afya, zahanati, hospitali za wilaya na mikoa.

Usichanganye Mambo Kama hujui Soma tu waache wanaojua watujuze
 
Si mlisema MAGUFULI amenyoosha nchi Nyie na kwamba nidhamu ya watumishi imerejea sasa siasa gani? Wadudu gani hayo???
Kama unaamini ummy alikuwa anapiga siasa twambie yyale maduka ya MSD yaliyofunguliwa na MAGUFULI yapo wapi na ni mangapi yana dawa za kutosha hata wasiende kununua dawa kwenye maduka binafsi!
Acha kupayuka kama mwenyekiti wewe
Yale maduka ya dawa hayana dawa za kuuza, Ila kuna wafanyakazi 24/7 wako pale kuwajibu wateja majibu ya O/S yaani Out of Stock
 
Naibu Katibu Tamisemi anayeshughulikia Afya ..kwa njia moja au nyingine automatIcally anamsaidia Waziri wa Afya
Sio kweli, alikuwa zaidi kwenye miundo mbinu. Hata ukifuatilia ziara zake alikuwa ana deal zaidi na majengo.
 
Back
Top Bottom