Nafikiri huyu mama anajikita kwenye utaratibu was kitaaluma zaidi, na namna taaluma inavyotakiwa kuleta matokeo chanya katika eneo la kazi (Yaani utekelezaji wa majukumu) na sio mbwembwe za kupayuka hovyo.Kila eneo analopita waziri wa afya Dr Gwajima katika ziara zake mikoani ni vilio tu, wananchi wanalalamikia Huduma hafifu, uhaba wa dawa nk....nk
Kiukweli hii wizara ina madudu mengi sana na sielewi waziri aliyetangulia Da Ummy Mwalimu na wasaidizi wake walikuwa wanafanya kazi gani!?
Chapa kazi Dr Gwajima wananchi tuko nyuma yako.
Maendeleo hayana vyama!
Ukweli mchungu hausemwi, mbali ya madhaifu ya baadhi watumishi, kubwa ni bajeti pesa iliyotegwa haipelekwi kamilifu ukiacha pesa ya kujenga maboma, dawa , vifaa tiba mtihani, hata wanachokusanya hakirejeshwi. Deni msd limefikia ukomo, kuna wakati msd anaambaza dawa za wahisani pekee kwa baadhi wateja.Makubwa ya Ummy Mwalimu ni yepi bwashee!
Huyo Gwajima kazi yake kubwa ilikuwa kupeleka UMBEA tu kwa JPM. Unakumbuka alipoapishwa, aliambiwa aende akayafanye na kuyasimamia aliyokuwa……………….Gwajima ni miongoni mwa waliokuwa wasaidizi wa Ummy.
Tumlaumu Gwajima kwa kutomsaidia na kumshauri Ummy ipasavyo
Hata JK mlikuwa mkimsifia kwenye utawala wake na alipo kuja 'huyu' mkaanza kusema nchi ilichezewa sana kipindi cha JK.Kila eneo analopita waziri wa afya Dr Gwajima katika ziara zake mikoani ni vilio tu, wananchi wanalalamikia Huduma hafifu, uhaba wa dawa nk....nk
Kiukweli hii wizara ina madudu mengi sana na sielewi waziri aliyetangulia Da Ummy Mwalimu na wasaidizi wake walikuwa wanafanya kazi gani!?
Chapa kazi Dr Gwajima wananchi tuko nyuma yako.
Maendeleo hayana vyama!
Kuna muda wa kukaripia na muda wa kutoa pongezi hiyo ipo katika ku-manage watumishi wa ummaktk sekta ya afya ukikaripia watumishi tegemea madudu zaidi
Kwa post hii johnthebaptist kila unapoleta post zake humu JF tumia senses zako zote. Ona sasa ulivyoachwa uchi. Kumbe waziri wa sasa wa afya ambaye alikuwa Naibu Katibu Mkuu ktk Wizara hiyo hiyo alikuwa anamhujumu kwa nguvu zake zote aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo kipindi hicho; Mhe. Ummy!Gwajima ni miongoni mwa waliokuwa wasaidizi wa Ummy.
Tumlaumu Gwajima kwa kutomsaidia na kumshauri Ummy ipasavyo
Hata Kikwette alipotoka tulisikia mengi yakiwamo kusaini mikataba ambayo hata mwenda wazimu asinge saini.
Tuombe Mungu CoviD atunusuru. Bila shaka tutasikia mengi kuhusu chattle na hata zile 1.5Tr baada ya jiwe.
Labda tu kama ana mpango wa kufuata nyayo za nduguye Mr. quarter pin.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Nafikiri vyama vya siasa kiujumla ni unafki mtupu,leo Mbowe anaulumu serikali kwa suala la Corona wakati kipindi cha kampeni wakati watu wanajazana kwenye mikutano ya kampeni za chadema hakuwahi hata kuwaambia wananchi kuchukua tahadhari wakati huo waliungana na Magufuli kwenye imani ya kwamba hakuna corona Tz ili tu la kwao lipite.Kweli ili uwe mwanaccm mzuri lazima uwe na Phd ya unafiki! Ummy aliyemwagiwa sifa lukuki kuwa kaishinda Corona kwa maombi ya kishindo hadi akaitwa mama wa corona leo anaonekana alikua mzugaji
Ummy Mwalimu alikuwa anashirikiana na Mkurugenzi wa MSD ambaye yuko Segerea kwa tuhuma za utakatishaji fedha. Waziri Ummy, Bwanakunu na mganyabiashara wa dawa Bahari Pharmacy ndiyo wameidhoofisha MSD kwa mikataba feki ya dawa, ku- supply delivery kits zilizo expire.Kila eneo analopita waziri wa afya Dr Gwajima katika ziara zake mikoani ni vilio tu, wananchi wanalalamikia Huduma hafifu, uhaba wa dawa nk....nk
Kiukweli hii wizara ina madudu mengi sana na sielewi waziri aliyetangulia Da Ummy Mwalimu na wasaidizi wake walikuwa wanafanya kazi gani!?
Chapa kazi Dr Gwajima wananchi tuko nyuma yako.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa taarifa yako Serikali ya Magufuli imepeleka Fedha nyingi MSD kuliko kipindi chohote toka nchi ipate UHURU mwaka 1961. Kati ya July 2016 Hadi Mei 2019 Hazina walipeleka Tsh 314 Bilioni sawa na Tsh 104 Bilioni kwa mwaka. Mwaka 2015/16 wakati Serikali ya JK inaondoka walipeleka Tsh 30 Bilioni.Huo uhaba wa dawa una zaidi ya miaka sasa . Hivi wafahamu pamoja na Serikali kujinasibu kuongeza bajeti ya dawa lakini kiuhalisia hiyo bajeti haitoki? Hivi unafahamu kwa zaidi ya miaka 2 Serikali haikupeleka pesa ya kununua dawa kutoka Hazina kwenda kwenye Zahanati, Vituo vya Afya na Hospitali? Hizo dawa zingenunuliwa kwa pesa ipi?
Hivi wafahamu pesa za Mfuko wa Afya ( Health Sector Basket Fund) hazikupelekwa Halmashauri almost mwaka wote wa 2020? Wadhani uendeshaji wa Idara ya Afya katika mila Halmashauri ya Wilaya (CHMT) na Sekretatieti za Mikoa ( RHMT) ulikuwaje?
Serikali itimize wajibu wake wa Msingi wa kuhakikisha MSD Kuna dawa za kutosha na pesa kwenye Vituo ziwepo za kutosha Kama utaona hivyo vilio
Mama hana utulivyo hana hekima kwa watumishiKwa taarifa yako Serikali ya Magufuli imepeleka Fedha nyingi MSD kuliko kipindi chohote toka nchi ipate UHURU mwaka 1961. Kati ya July 2016 Hadi Mei 2019 Hazina walipeleka Tsh 314 Bilioni sawa na Tsh 104 Bilioni kwa mwaka. Mwaka 2015/16 wakati Serikali ya JK inaondoka walipeleka Tsh 30 Bilioni.
Katika historia ya MSD kipindi cha UMMY Mwalimu tulijionea kwa mara ya kwanza Waziri akiwa na mahusiano ya karibu sana na Mkurugenzi wa MSD Laurean Bwanakunu. Walikuwa na mahusiano ya kingono na kugawana Fedha kwa kupitia kwa Katwaza wa Bahari Pharmacy ambaye walikuwa wanampa mikataba mingi ya ku-supply dawa hasa vile vifaa vya kits za kujifungulia akina mama.
Haya ninayoyasema siyo majungu yako kwenye Ripoti ya Katibu Mkuu Hazina kutokana na special audit ya October 2019- February 2020. Na matokeo ya Special Audit hiyo ndiyo Rais JPM aliweza kumtumbua Bwanakunu kutoka nafasi ya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa MSD. Na hatimaye kufunguliwa mashtaka ya kuhujumu uchumi na TAKUKURU.
Mtaji wa MSD umekatika kabisa kwa vile kipindi cha Bwanakunu wamekuwa wananunua dawa zenye muda mfupi toka nje ya nchi hivyo basi kuna mrundikano wa madawa yapatayo Bilioni zaidi ya 30 ambayo yame EXPIRE.
Kwa mwaka 2019/20 kweli Serikali haikupeleka Fedha kwa kuwa ilikuwa inataka ijiridhishe kwa nini mtaji unaporomoka.
Lakini Bwanakunu hakupaswa kutumbuliwa peke yake bali hata Waziri UMMY Mwalimu alipaswa atumbuliwe pia. Nashangaa DOUBLE STANDARDS za JPM kumuacha na kumfanya Waziri wa Mazingira na Muungano.
Kama MSD imefeli na wamegundua tatizo Ni Mkurugenzi Mkuu basi na Waziri anahusika kwa vile alikuwa ANAMLINDA. Kama Tume ingekuwa imeundwa na UMMY Mwalimu na kugundua mauza uza ya Bwanakunu Basi Waziri angekuwa hana hatia. Lakini Tume iliundwa na Dotto James, Katibu Mkuu Hazina
Tumuache Dr Dorothy Gwajima afanye kazi, kamwe tusimfananishe na UMMY Mwalimu.
Umesema kweli kabisaGwajima ni miongoni mwa waliokuwa wasaidizi wa Ummy.
Tumlaumu Gwajima kwa kutomsaidia na kumshauri Ummy ipasavyo
Kwa taarifa yako Serikali ya Magufuli imepeleka Fedha nyingi MSD kuliko kipindi chohote toka nchi ipate UHURU mwaka 1961. Kati ya July 2016 Hadi Mei 2019 Hazina walipeleka Tsh 314 Bilioni sawa na Tsh 104 Bilioni kwa mwaka. Mwaka 2015/16 wakati Serikali ya JK inaondoka walipeleka Tsh 30 Bilioni.
Katika historia ya MSD kipindi cha UMMY Mwalimu tulijionea kwa mara ya kwanza Waziri akiwa na mahusiano ya karibu sana na Mkurugenzi wa MSD Laurean Bwanakunu. Walikuwa na mahusiano ya kingono na kugawana Fedha kwa kupitia kwa Katwaza wa Bahari Pharmacy ambaye walikuwa wanampa mikataba mingi ya ku-supply dawa hasa vile vifaa vya kits za kujifungulia akina mama.
Haya ninayoyasema siyo majungu yako kwenye Ripoti ya Katibu Mkuu Hazina kutokana na special audit ya October 2019- February 2020. Na matokeo ya Special Audit hiyo ndiyo Rais JPM aliweza kumtumbua Bwanakunu kutoka nafasi ya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa MSD. Na hatimaye kufunguliwa mashtaka ya kuhujumu uchumi na TAKUKURU.
Mtaji wa MSD umekatika kabisa kwa vile kipindi cha Bwanakunu wamekuwa wananunua dawa zenye muda mfupi toka nje ya nchi hivyo basi kuna mrundikano wa madawa yapatayo Bilioni zaidi ya 30 ambayo yame EXPIRE.
Kwa mwaka 2019/20 kweli Serikali haikupeleka Fedha kwa kuwa ilikuwa inataka ijiridhishe kwa nini mtaji unaporomoka.
Lakini Bwanakunu hakupaswa kutumbuliwa peke yake bali hata Waziri UMMY Mwalimu alipaswa atumbuliwe pia. Nashangaa DOUBLE STANDARDS za JPM kumuacha na kumfanya Waziri wa Mazingira na Muungano.
Kama MSD imefeli na wamegundua tatizo Ni Mkurugenzi Mkuu basi na Waziri anahusika kwa vile alikuwa ANAMLINDA. Kama Tume ingekuwa imeundwa na UMMY Mwalimu na kugundua mauza uza ya Bwanakunu Basi Waziri angekuwa hana hatia. Lakini Tume iliundwa na Dotto James, Katibu Mkuu Hazina
Tumuache Dr Dorothy Gwajima afanye kazi, kamwe tusimfananishe na UMMY Mwalimu.
Si mlisema MAGUFULI amenyoosha nchi Nyie na kwamba nidhamu ya watumishi imerejea sasa siasa gani? Wadudu gani hayo?Kila eneo analopita waziri wa afya Dr Gwajima katika ziara zake mikoani ni vilio tu, wananchi wanalalamikia Huduma hafifu, uhaba wa dawa nk.