Nimefuatilia ziara ya waziri Gwajima mikoani, kiukweli madudu ni mengi. Yule Ummy alikuwa anapiga siasa tu!

Nadhani mpandisha uzi hajui hasa kazi na majukumu ya katibu mkuu. Yeye anakaa kwenye keyboard kusifia tu
 
Alaaah! Kumbe
 
This is madness!

Nilimuona Ummy kama mtendaji muadilifu sana!

Binaadam kama Binaadam!
Hakuna kitu pale zaidi ya kuficha data za COVID 19. Naye aliitumia MSD kujiatia fedha za kujijenga kisiasa kwenye Jimbo la Tanga Mjini. Unadhani fedha alizokuwa anawafadhili Coastal Union au alizotumia kununua mashamba pale Korogwe alipata wapi? Yote ni michongo ya Bwanakunu na Bahari Pharmacy
 
Wewe unafikiri Gwajima alikuwa wapi? In short walikuwa wote, kama msaidizi wa Ummy. Siasa na uhalisia ni vitu viwili TOFAUTI, wanasiasa hulazimisha vitu ambavyo haiwezekani kiutendaji ili kupata sifa za kisiasa.
 
Eeenh, kiwanda gani hicho mkuu kinachoweza kufanya kazi kama hiyo - Keko Pharmaceuticals au kile cha Madabida kule Arusha, au hivi vya wahindi Mwanza, ..., na wapi sijui?
Cipla, kule India au hapo Uganda, mtawalipa gharama za kazi hiyo?

Na huko kwingine kama Pfizer na wengine hata usiote ndoto mbaya kama hiyo ukawapelekea huko.
Miaka ya mwanzo ya 1990s niliwahi kuzuru Kiwanda cha Cement cha Twiga, vioo vilivyowekwa vyooni vyote viliandikwa 'Kioo hiki kimeibiwa Wazo hill
Hii ni tofauti sana na hilo wazo la mwanzo.
 
Kwa hiyo unadhani wizi wa dawa utamalizwa kwa ziara za kustukiza na mashushu kwa Maafisa unaowakuta?

Ukipinga wazo unakuja na wazo mbadala, ndio maana ya constructive critism
 
Kwa taarifa yako Serikali ya Magufuli imepeleka Fedha nyingi MSD kuliko kipindi chohote toka nchi ipate UHURU mwaka 1961.
Na hapa umejivimbisha kweli kwelikweli uonekane mjuvi sana wa mambo? Unalinganisha kiasi cha pesa 1961 na 2021? Mbona hujalinganisha wingi wa watu! Hopeless kabisa.
 
Kwa hiyo unadhan wizi wa dawa utamalizwa kwa ziara za kustukiza na mashushu kwa Maafisa unaowakuta?

Ukipinga wazo unakuja na wazo mbadala, ndio maana ya constructive critism
Hapana.
Sidhani kuwa "wizi wa dawa utamalizwa kwa ziara za kustukiza,..." na wala sikupendekeza hapo kuwa hiyo ndiyo njia.

Nililojibu ni hiyo njia uliyopendekeza, ambayo sio 'practical'.

Wizi wa dawa sio tofauti na wizi wa pesa na mali nyingine za thamani. Hivi haviwekewi 'nembo' maalum kuzuia wizi huo. Kuna njia sahihi zinazojulikana na kutumika kuzia wizi huo. Kwa nini baadhi ya njia hizo zisitumike kuzuia/kupunguza wizi wa dawa?
Au unataka niorodheshe kabisa hizo njia?
 
Hapo kwenye bold mkuu, ulitaka wewe ndiye uingiziwe muhogo wa Jang'ombe?
 
Wewe unafikir Gwajima alikuwa wapi? In short walikuwa wote, kama msaidizi wa ummy. Siasa na uhalisia ni vitu viwil TOFAUT, wanasiasa hulazimisha vitu ambavyo haiwezekan kiutendaji ili kupata sifa za kisiasa.
Usiandike vitu ambavyo huna uhakika navyo. Dr Gwajima aliwahi kuwa Director wa Hospital Services Hadi 2019 wakati Ummy akiwa Waziri wa Afya. Kwa hiyo yeye alikuwa anaripoti kwa Katibu Mkuu Mpoki Ulisubisya.

Alipokuwa Naibu KM Tamisemi kuanzia 2019 alikuwa chini ya Waziri Jaffo. Usimhusishe Dr. Gwajima na uozo wa Ummy
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hapo kwenye bold mkuu, ulitaka wewe ndiye uingiziwe muhogo wa Jang'ombe?
Nimekupa hiyo ili uone kwa nini Waziri alifumba macho mpaka Taasisi ikafirisika kuwa ukichanganya mapenzi na ufisadi kwenye kazi za umma huwezi kumsimamia SUBORDINATE wako
 
Naibu Katibu Tamisemi anayeshughulikia Afya ..kwa njia moja au nyingine automatIcally anamsaidia Waziri wa Afya
Hakuna automatically kwenye madaraka. Waziri wa afya anawajibika kwa kutengeneza sera za afya, mafunzo, usimamizi wa hospitali maalum na za rufaa na bajeti ya Fedha.

Wizara ya TAMISEMI inashughulikia utekelezaji wa sera ya afya na maagizo kwenye vituo vya afya, zahanati, hospitali za wilaya na mikoa.

Usichanganye Mambo Kama hujui Soma tu waache wanaojua watujuze
 
Yale maduka ya dawa hayana dawa za kuuza, Ila kuna wafanyakazi 24/7 wako pale kuwajibu wateja majibu ya O/S yaani Out of Stock
 
Naibu Katibu Tamisemi anayeshughulikia Afya ..kwa njia moja au nyingine automatIcally anamsaidia Waziri wa Afya
Sio kweli, alikuwa zaidi kwenye miundo mbinu. Hata ukifuatilia ziara zake alikuwa ana deal zaidi na majengo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…