Nimefuatilia ziara ya waziri Gwajima mikoani, kiukweli madudu ni mengi. Yule Ummy alikuwa anapiga siasa tu!

Hivi huyu former MD wa MSD bado yupo kolokoroni?? Na ile kesi yake ya uhujumu uchumi?? Dah, kumbe Mwamba alikua anakula uroda kwa Teacher?? Aisee Leo ndiyo najua huu mchezo
Tanga hiyo bwashee Waja leo waondoka leo!
 
Waziri Ummy Mwalimu ni mmoja ya Mawaziri wachache aliyemaliza miaka yake mitano akisifiwa na maCCM wenzake kama malaika na kuteuliwa tena kuongoza Wizara nyingine nyeti kwa miaka mingine mitano, leo maCCM yaleyale yamesha mgeuka na kumwona alikuwa shetani, malaika ni aliyopo ambaye hajatimiza hata siku 100 kwenye nafasi hiyo wala haijulikani kama atamaliza mitano. Rais Kikwete akiwa madarakani maCCM yalikuwa yanamjaza sifa kama malaika ingawa Wapinzani walijaribu kumkosoa ili ajirekabishe lakini waliambulia matusi na kuonekana siyo wazalendo, leo maCCm yaleyale yanamwona ni shetani mwenye mkia na pembe. Huo ndo ujinga wa CCM na imekuwa ni tabia ya kusifu na kupongeza viongozi wao badala ya kuwasaidia kwa kuwashauri na kukemea wanapokwenda kinyume na taratibu au wanapofanya ujinga. Tutaona mengi Kibajaji akiwa Rais mwaka 2025, mstaafu itabidi ahamie Rwanda, Kikwete hakuwa na pakuhamia!
Acha kuandika upuuzi kwenye mambo usiyoyaelewa kwa akili zako kama unaelewa maswala ya health management unaweza fananisha competent skills za Ummy Mwalimu na Dr Gwajima on that discipline?

Weaknesses za Dr Gwajima she is not a politician at heart more so a technocrat it shows in her public communication skill. That might be a problem and she needs to work on that.

For staters aelewi uwezi kumkatisha raisi kabla ajamaliza kuongea ata kama wewe unajua zaidi yake, usiongee sana mbele yake kama ujaulizwa.

Hajui how to answer politically as a government employee not to show disrespect to the boss publicly ata kama umeona limitations zake you can’t contradict him or else he can get defensive kama ilivyokuwa Tabora mpaka raisi alipomuhurumia akaamua mpira auhamishie kwa Dr wa hospital (apunguze ujuaji mbele ya boss).

Huko kwingine anapoenda kufanya trouble shooting zake akiwa mwenyewe awashe tu moto ila sio mbele ya boss, mwiko.

When it comes to the technicality ya kuendesha hiyo wizara she is head above waters ata kushinda katibu mkuu wake.

The woman knows the nitty gritty staff of managing that ministry at least on health management side of things I have actually learned a few things from her trouble shooting approach it showed me being a doctor and having experience matters on that level of management na mimi ni kilaza tu kwa elimu yake.

Ila kwenye social aspects ya hiyo wizara kwakweli bado anapwaya even with that she is the best we have ever seen for that post.

With due time some of us will attack her on the social services side of thing, preventive measures and so forth; muhimu ni kumtwanga mtu anaeweza kuona kasoro, lakini sio Ummy Mwalimu ata anapokosolewa aoni makosa yake wala intentions za kukoselewa kwake as far as she is concerned anapikiwa majungu.

Huko walipo mpeleka Ummy Mwalimu ndio kunako mfaa kumfananisha na Gwajima ni kutaka tumtwange mtu asietuhusu anymore.

Dr Gwajima pamoja na girlish demeanour yake she is actual very very intelligent and academically broad. A doctor talking about Schrödinger’s cat equation in the midst ya vichambo vyake kuonyesha makosa yao are not that complicated for her to figure out (implying to the equation trick now you see it, now you don’t) only a few can appreciate her level of intelligence.

The woman is not for testing, and somewhat too clever for her own good.

Me like her so much.
 
Ummy Mwalimu alifanya kazi nzuri sana, ktk sekta ya afya ukikaripia watumishi tegemea madudu zaidi kama unabisha tumpe muda Dr Gwajima
Hujui kama mbongo ukimchekea ndio umempa nafasi ya kuharibu na kukudanganya hasa akishajua haujui??

Muulize JK alipokuwa Rais.
 
Njoo na takwimu Kama Mimi ndiyo utanitoa kwenye msitari. Kinyume cha data kama zangu utakuwa Kama kasuku. Kama huna data Soma tu hapa halafu, nenda ukakojoe na ulale
Uzuri majitu ya chixhiemu ndivyo mlivyo yaan mambo mnatunga nyie bunjen, mnasimamia nyie, watendaji ni chichiemu wenzenu alafu then pembeni kuna ambbao wana taka kujiona wao ni boraa ati kuliko wenzao sasa umeulizwaa hapa wakati ummy ni waziri doroth yy alikuwa anashikiliaa nafasi gan ? Si alikuwa ktk panel ya kumshauri waziri na kufanya maamuzi ya wizara iyo iyo sasa kama una mgusa ummy una mwachaje naibu wake na katibu wake ? Kabla hujakojoa na kulala kishughulishe kichwa chako usiwe bendera kufuata upepo. Sisi wengine ni 5D thinker sio ww una jiropokea na matakwimu yako ..
Huyo waziri ktk ukaguzi wake aliokuwa naufanya sveral times unamuo a analalamikia ya kiwa hospital nyingi hazina mfumo wa ku tracks procurements na matumizi ya madawa / auditing za madawa ni zero sasa ww una piga kelele as if hqya mambo ulikuwa huyajui
 
Kila eneo analopita waziri wa afya Dr Gwajima katika ziara zake mikoani ni vilio tu, wananchi wanalalamikia Huduma hafifu, uhaba wa dawa nk.

Kiukweli hii wizara ina madudu mengi sana na sielewi waziri aliyetangulia Da Ummy Mwalimu na wasaidizi wake walikuwa wanafanya kazi gani!?

Chapa kazi Dr Gwajima wananchi tuko nyuma yako.

Maendeleo hayana vyama!
Waziri ni mwanasiasa; siyo mtendaji. Kazi ya waziri ni kutoa uongozi wa kisiasa ikiwa ni pamoja na kusimamia utekelezaji wa sera ya sekta husika. Kuna hatari ya waziri kuacha kusimamia sera na badala kuwa mtendaji wa kufokea fokea watumishi. Uhaba wa dawa ni changamoto ya kisera zaidi unaotokana na bajeti finyu. Hivyo ufumbuzi wake ni wa kisera. Kinyume chake tunaona mzigo mkubwa ukibebeshwa watumishi kuwa wao ndiyo husababisha uhaba.
 
Acha kuandika upuuzi kwenye mambo usiyoyaelewa kwa akili zako kama unaelewa maswala ya health management unaweza fananisha competent skills za Ummy Mwalimu na Dr Gwajima on that discipline?

Weaknesses za Dr Gwajima she is not a politician at heart more so a technocrat it shows in her public communication skill. That might be a problem and she needs to work on that.

For staters aelewi uwezi kumkatisha raisi kabla ajamaliza kuongea ata kama wewe unajua zaidi yake, usiongee sana mbele yake kama ujaulizwa.

Hajui how to answer politically as a government employee not to show disrespect to the boss publicly ata kama umeona limitations zake you can’t contradict him or else he can get defensive kama ilivyokuwa Tabora mpaka raisi alipomuhurumia akaamua mpira auhamishie kwa Dr wa hospital (apunguze ujuaji mbele ya boss).

Huko kwingine anapoenda kufanya trouble shooting zake akiwa mwenyewe awashe tu moto ila sio mbele ya boss, mwiko.

When it comes to the technicality ya kuendesha hiyo wizara she is head above waters ata kushinda katibu mkuu wake.

The woman knows the nitty gritty staff of managing that ministry at least on health management side of things I have actually learned a few things from her trouble shooting approach it showed me being a doctor and having experience matters on that level of management na mimi ni kilaza tu kwa elimu yake.

Ila kwenye social aspects ya hiyo wizara kwakweli bado anapwaya even with that she is the best we have ever seen for that post.

With due time some of us will attack her on the social services side of thing, preventive measures and so forth; muhimu ni kumtwanga mtu anaeweza kuona kasoro, lakini sio Ummy Mwalimu ata anapokosolewa aoni makosa yake wala intentions za kukoselewa kwake as far as she is concerned anapikiwa majungu.

Huko walipo mpeleka Ummy Mwalimu ndio kunako mfaa kumfananisha na Gwajima ni kutaka tumtwange mtu asietuhusu anymore.

Dr Gwajima pamoja na girlish demeanour yake she is actual very very intelligent and academically broad. A doctor talking about Schrödinger’s cat equation in the midst ya vichambo vyake kuonyesha makosa yao are not that complicated for her to figure out (implying to the equation trick now you see it, now you don’t) only a few can appreciate her level of intelligence.

The woman is not for testing, and somewhat too clever for her own good.

Me like her so much.
Kilatha thanks very much!! Andiko lako limemtendea haki Dr Gwajima. Liko very balanced kwa kuonyesha strengths zake kwenye health management na weakness zake kwenye communication skills. I hope ata address hizo weaknesses through his seniors and peers.

Waache ndezi wanao mu- underate wasndelee kusubiri. Dr Gwajima is the real deal
 
Uzuri majitu ya chixhiemu ndivyo mlivyo yaan mambo mnatunga nyie bunjen, mnasimamia nyie, watendaji ni chichiemu wenzenu alafu then pembeni kuna ambbao wana taka kujiona wao ni boraa ati kuliko wenzao sasa umeulizwaa hapa wakati ummy ni waziri doroth yy alikuwa anashikiliaa nafasi gan ? Si alikuwa ktk panel ya kumshauri waziri na kufanya maamuzi ya wizara iyo iyo sasa kama una mgusa ummy una mwachaje naibu wake na katibu wake ? Kabla hujakojoa na kulala kishughulishe kichwa chako usiwe bendera kufuata upepo. Sisi wengine ni 5D thinker sio ww una jiropokea na matakwimu yako ..
Huyo waziri ktk ukaguzi wake aliokuwa naufanya sveral times unamuo a analalamikia ya kiwa hospital nyingi hazina mfumo wa ku tracks procurements na matumizi ya madawa / auditing za madawa ni zero sasa ww una piga kelele as if hqya mambo ulikuwa huyajui
luangalila hujui unachoandika, unakuwa kama bata anayekunya pratatatata. Kasome kuanzia mwanzo utaona kuwa Dr Gwajima alikuwa TAMISEMI iliyokuwa chini ya Jafo na siyo Ummy. Acheni kukariri ujinga
 
Gwajima ni miongoni mwa waliokuwa wasaidizi wa Ummy.

Tumlaumu Gwajima kwa kutomsaidia na kumshauri Ummy ipasavyo
Na sehemu kubwa ni kiki, kila maelekezo mpaka iwekwe kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
Wa aina yake tumelishawaona, mfano aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani(Kangi Lugola) kila siku kuonyesha mapungufu, kufokea na kudhalilisha wataalamu lakini walikuja onekana ni usanii tu.!
 
luangalila hujui unachoandika, unakuwa kama bata anayekunya pratatatata. Kasome kuanzia mwanzo utaona kuwa Dr Gwajima alikuwa TAMISEMI iliyokuwa chini ya Jafo na siyo Ummy. Acheni kukariri ujinga
Unless sikuwa Tanzania ndio utasema sijui ila nipo Tanzania huwezi niambia sijui wewe
 
Ile mipasho na kunyoa kiduku ndio anapiga kazi loh tuna hasara sana nchi hii
 
Jamani tukubali Hali ni mbaya kwenye hospitali nyingi hakuna cha dawa Hadi bomba la sindano ni ngumu kupata. ina maana hivi SASA serikali mapato inayotegemea kwenye hospitali ni gharama za kitanda Tu basi.
 
Idara ya Afya haiitaji siasa..inahitajika implementation ya bajeti kwa 100% ili wananchi wapate huduma bora. Bila pesa hata field marshal itafika wakati atachemka.
Je,wajua kuna zahanati ina watumishi 2 wanashindwa hata kwenda likizo?
 
Mwambie na Jaffo pamoja na ziara nyingi lakini angalia wakurugenzi wanavyo piga kwa masharti magumu
 
Attachments

  • Screenshot_20210201-132450.png
    Screenshot_20210201-132450.png
    237.7 KB · Views: 1
Ummy alifanya kwa wakati wake mwache mama corona aendelee na majukumu yake huko aliko
 
Kila mmoja ana mazuri yake msiweke huo ukiritimba, kila mmoja anafanya kwa nafasi yake
 
Gwajima ni miongoni mwa waliokuwa wasaidizi wa Ummy.

Tumlaumu Gwajima kwa kutomsaidia na kumshauri Ummy ipasavyo
Sijawahi ona wasaidizi wanalalamikiwa.

Labda kama muda huo boss ashaliwa kichwa na anajibia kushindwa kutimiza majukumu yake. Ikiwa ni pamoja na kuwa wajibisha hawa wasaidizi.

Hata huyu naye akitoka tutaona mengi.

Sasa subiria ofisi kuu imalize muda wake.
 
Back
Top Bottom