Waziri Ummy Mwalimu ni mmoja ya Mawaziri wachache aliyemaliza miaka yake mitano akisifiwa na maCCM wenzake kama malaika na kuteuliwa tena kuongoza Wizara nyingine nyeti kwa miaka mingine mitano, leo maCCM yaleyale yamesha mgeuka na kumwona alikuwa shetani, malaika ni aliyopo ambaye hajatimiza hata siku 100 kwenye nafasi hiyo wala haijulikani kama atamaliza mitano. Rais Kikwete akiwa madarakani maCCM yalikuwa yanamjaza sifa kama malaika ingawa Wapinzani walijaribu kumkosoa ili ajirekabishe lakini waliambulia matusi na kuonekana siyo wazalendo, leo maCCm yaleyale yanamwona ni shetani mwenye mkia na pembe. Huo ndo ujinga wa CCM na imekuwa ni tabia ya kusifu na kupongeza viongozi wao badala ya kuwasaidia kwa kuwashauri na kukemea wanapokwenda kinyume na taratibu au wanapofanya ujinga. Tutaona mengi Kibajaji akiwa Rais mwaka 2025, mstaafu itabidi ahamie Rwanda, Kikwete hakuwa na pakuhamia!
Acha kuandika upuuzi kwenye mambo usiyoyaelewa kwa akili zako kama unaelewa maswala ya health management unaweza fananisha competent skills za Ummy Mwalimu na Dr Gwajima on that discipline?
Weaknesses za Dr Gwajima she is not a politician at heart more so a technocrat it shows in her public communication skill. That might be a problem and she needs to work on that.
For staters aelewi uwezi kumkatisha raisi kabla ajamaliza kuongea ata kama wewe unajua zaidi yake, usiongee sana mbele yake kama ujaulizwa.
Hajui how to answer politically as a government employee not to show disrespect to the boss publicly ata kama umeona limitations zake you can’t contradict him or else he can get defensive kama ilivyokuwa Tabora mpaka raisi alipomuhurumia akaamua mpira auhamishie kwa Dr wa hospital (apunguze ujuaji mbele ya boss).
Huko kwingine anapoenda kufanya trouble shooting zake akiwa mwenyewe awashe tu moto ila sio mbele ya boss, mwiko.
When it comes to the technicality ya kuendesha hiyo wizara she is head above waters ata kushinda katibu mkuu wake.
The woman knows the nitty gritty staff of managing that ministry at least on health management side of things I have actually learned a few things from her trouble shooting approach it showed me being a doctor and having experience matters on that level of management na mimi ni kilaza tu kwa elimu yake.
Ila kwenye social aspects ya hiyo wizara kwakweli bado anapwaya even with that she is the best we have ever seen for that post.
With due time some of us will attack her on the social services side of thing, preventive measures and so forth; muhimu ni kumtwanga mtu anaeweza kuona kasoro, lakini sio Ummy Mwalimu ata anapokosolewa aoni makosa yake wala intentions za kukoselewa kwake as far as she is concerned anapikiwa majungu.
Huko walipo mpeleka Ummy Mwalimu ndio kunako mfaa kumfananisha na Gwajima ni kutaka tumtwange mtu asietuhusu anymore.
Dr Gwajima pamoja na girlish demeanour yake she is actual very very intelligent and academically broad. A doctor talking about Schrödinger’s cat equation in the midst ya vichambo vyake kuonyesha makosa yao are not that complicated for her to figure out (implying to the equation trick now you see it, now you don’t) only a few can appreciate her level of intelligence.
The woman is not for testing, and somewhat too clever for her own good.
Me like her so much.