Nimefukuzwa Kazi kwa sababu ya "Chapisho la Kisiasa"

Nimefukuzwa Kazi kwa sababu ya "Chapisho la Kisiasa"

Umekosea sana kuandika barua ya kukiri kosa na kuomba msamaha.

Wewe ungeacha tu wao wachukue hatua za kinidhamu then uende CMA kuwatemesha ndoano.

Kucomment facebook au kuscreeshot chapisho siyo kosa la kufukuzwa ambalo limechukuliwa na taasisi yako labda kama lina jinai ya cyber crime ambapo ni kusimamishwa then jamhuri ichukue hatua za kesi mpaka itakapomalizika.
 
Alikuwa deceived akaingia mkenge kumbe wao walikuwa wanamtafutia point ya kumchinja kabisa 😁
Umekosea sana kuandika barua ya kukiri kosa na kuomba msamaha.

Wewe ungeacha tu wao wachukue hatua za kinidhamu then uende CMA kuwatemesha ndoano.

Kucomment facebook au kuscreeshot chapisho siyo kosa la kufukuzwa ambalo limechukuliwa na taasisi yako labda kama lina jinai ya cyber crime ambapo ni kusimamishwa then jamhuri ichukue hatua za kesi mpaka itakapomalizika.
 
Kuna Boss wa Muhimili alipigwa zengwe baada ya kusema kuna siku tutaamka tukutwe tumeuzwa (na alikuwa anaongelea kitu cha maana kuhusu mikopo kuzidi)

Na mwingine alijikuta anapewa onyo kwa kuongelea kwamba Tozo hazifai...

In short tupo kwenye Authoritarian...
 
Na: Jumanne Mwita

Leo tarehe 12/11/2025 nimesimamishwa kazi.

Sio kwa sababu nilichelewa kazini, wala kwa kosa la kitaaluma — bali kwa sababu nilichapisha au nili "screenshot" chapisho la mtu mwingine lenye mtazamo wa kisiasa. Chapisho hilo halikuwa la matusi, halikuhusiana na kazi yangu, lakini kwa namna fulani lilitafsiriwa kama kudhihaki serikali.

Niliambiwa na uongozi wangu niandike barua ya kujieleza kukiri kosa na kuahidi kutorudia. Nimeandika barua hiyo kwa heshima na utulivu, nikitambua kwamba kila taasisi ina maadili yake ya ndani. Lakini tukio hili limeniacha nikijiuliza maswali mapana zaidi kuhusu uhuru wa fikra, hofu, na namna nguvu za kiuchumi zinavyounganika na nguvu za kisiasa katika jamii yetu.

Somo Nililojifunza

Kwanza, nimegundua kwamba katika mazingira ya kazi nchini kwetu, uhuru wa mtu mtandaoni ni wa masharti. Kila chapisho linaweza kutazamwa kama kielelezo cha msimamo wa kampuni au taasisi unayofanyia kazi, hata kama ni mtazamo binafsi.

Pili, nimeona kwamba matajiri wengi na wamiliki wa kampuni wanaishi chini ya mwavuli wa mtawala — si kwa lazima kwamba wanaunga mkono kila jambo, bali kwa sababu wanalinda maslahi yao. Wengi hawataki kutambulika kuwa na msimamo tofauti na mamlaka kwa kuhofia kuingiliwa katika biashara zao au kupoteza upendeleo wa kibiashara.

Kwa hiyo, hata makosa madogo ya mfanyakazi kama mimi — kama kuchapisha au kushiriki chapisho la kisiasa — yanaweza kuonekana kama tishio kwa usalama wa biashara.

Hii Inanifundisha Nini Zaidi?

Imenifundisha kwamba uhuru wa maoni unahitaji busara, si ujasiri pekee.
Si kila wazo unalokubaliana nalo linapaswa kutangazwa hadharani, hasa ukiwa sehemu ya taasisi inayojali sura yake mbele ya mamlaka.

Imenifundisha pia kwamba kuandika kwa fikra huru ni jukumu lenye gharama.

Kuna nyakati kalamu inagusa maeneo yasiyotakiwa — si kwa nia mbaya, bali kwa sababu jamii yetu bado haijajenga utamaduni wa kuvumilia mitazamo tofauti.

Na zaidi ya yote, imenifundisha kuwa ukweli unaweza kukulazimisha kuchagua kati ya uhuru na usalama wa kipato.

Mwisho wa Tafakuri

Niko kwenye kipindi cha kutafakari, nikisubiri majibu ya barua yangu ya maombi ya msamaha.
Lakini ndani yangu, nimejifunza kitu muhimu: Kwamba katika jamii ambapo uchumi, siasa na hofu vimeungana, hata “screenshot” inaweza kuwa kosa kubwa kuliko wizi.

Imeandaliwa na Jumanne Mwita
Je umeajiriwa kazi wapi?
 
Huyo ni Rostam azizi aliye nyuma ya hayo ...niliwaambia watu kuwa zuio la kutajwa jina la jpm ni agenda kabambe ya Rostam azizi....watu waliwa amini hao wahuni kuwa JPM ndiyo alikuwa mkandamizaji kumbe wao walikuwa wanatafuta timing tu na sasa wamejifunua wazi kuwa wao ndiyo maadui wa uzalendo na wazalendo na wauaji siyo kama walivyo jinadi kuwa baada ya jpm hakuna kutekwa wala kuuliwa ......ROSTAM AZIZI ASIPO ULIWA HADI 2026 -27 LITAKUWA KOSA KUBWA SANA KWA TAIFA HUYU NI ADUI NO 1 ....MFUMO MZIMA WA UHALIBIFU NCHINI UMESUKWA NA KUENDESHWA NA HUYU MUHUNI ROSTAM AZIZI....PIA WATU AWAJUI KWA NINI BAADA YA KIFO CHA JPM HUYU MUHALIFU ALINUNUA MITANDAO YA SIMU KWA HARAKA SANA ....SIYO SWALA LA BIASHARA KUNA KITU NYUMA YAKE .....
Kunywa maji baridi upoze munkari. Hasira zitakuua kabla ya muda wako. Rostam ni mfanya biashara tu hayuko bungeni wala Serikalini
 
Back
Top Bottom