Nimefukuzwa Kazi kwa sababu ya "Chapisho la Kisiasa"

Umekosea sana kuandika barua ya kukiri kosa na kuomba msamaha.

Wewe ungeacha tu wao wachukue hatua za kinidhamu then uende CMA kuwatemesha ndoano.

Kucomment facebook au kuscreeshot chapisho siyo kosa la kufukuzwa ambalo limechukuliwa na taasisi yako labda kama lina jinai ya cyber crime ambapo ni kusimamishwa then jamhuri ichukue hatua za kesi mpaka itakapomalizika.
 
Alikuwa deceived akaingia mkenge kumbe wao walikuwa wanamtafutia point ya kumchinja kabisa 😁
 
Kuna Boss wa Muhimili alipigwa zengwe baada ya kusema kuna siku tutaamka tukutwe tumeuzwa (na alikuwa anaongelea kitu cha maana kuhusu mikopo kuzidi)

Na mwingine alijikuta anapewa onyo kwa kuongelea kwamba Tozo hazifai...

In short tupo kwenye Authoritarian...
 
Je umeajiriwa kazi wapi?
 
Kunywa maji baridi upoze munkari. Hasira zitakuua kabla ya muda wako. Rostam ni mfanya biashara tu hayuko bungeni wala Serikalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…