Nimefukuzwa Kazi kwa sababu ya "Chapisho la Kisiasa"

Ulipaswa ufanye kama ndugu Polepole.
Unaachana na kazi kisha unalipuka kama moto wa nyika.
 
Haitawezekana wote wajiajiri.
Kuna kundi kubwa la watu wanapenda kuuajiriwa.
Hata ukimsaidiaje haitawezekana.
Ndo mtafukyzwa kazi ad akili ziwakae sawasawa hakuna mtu alietajirika kwa kuajiriwa
 
Wafanyabishara hawataki kusiganisha biashara zao na upande wa siasa hasa kusigana na Chama tawala. Be careful
 
Watumishi wa umma wamepigwa marufuku kumiliki VPN
 
nimejifunza kitu muhimu: Kwamba katika jamii ambapo uchumi, siasa na hofu vimeungana, hata “screenshot” inaweza kuwa kosa kubwa kuliko wizi.
Pole broo,
Ulichapisha kwenye mtandao gani?

Next time tumia majina yasiyo halisi mitandaoni
 
Mbona kama andiko lako liko kimkakati zaidi ktk mwendelezo ule ule . Kila chenye mwanzo kina mwisho.

Kwani Carl marxi yupo?
 
Ndo mtafukyzwa kazi ad akili ziwakae sawasawa hakuna mtu alietajirika kwa kuajiriwa
Unadhan watu wanakubali kuajiriwa ili watajirike? No body anatafuta utajiri kwa ajira
Bal kuendeshantu life ya kila siku
 
I don’t sign any paper inayohusu migogoro ya kizazi kama mwanasheria wangu ahusiki.
 
Acha kulialia mkuu .
Tumia changamoto husika kama somo ,ingia kitaa kwa nia nyingine huku ukilitazama kosa lako kama pilipili kwenye mishkaki , usiruhusu kujuta .

Mimi naamini hiyo ni njia ya wewe kukufikisha kwenye mafanikio .

Nina history ya wengi waliyotolewa kazini kwa njia hiyo na mwisho kesho zao zimekuja kuwa bora sana zaidi ya walivyokuwa awali .

Keep pushing,Never loose hope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…