mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Malkia sawa ila deo darasa la pili B Kisa mbunge tu,PM wa England tu duka halifungwiShopping yake ni ngapi?
Laiti tungejua ananunua nini hapo
Wala usishangae sana mkuu
Kuna siku huku Knightsbridge duka la Harrods walifunga lote maduka 330 kupisha Malkia wa Jordan afanye shopping kwa masaa kadhaa
Hiyo ni London kwa hiyo mkuu wala usikasirike sana
Najua ina Uma ila ndio hivyo tena vumilia tu labda alinunua vya 10m