Nimefukuzwa kwenye duka la Kene Beibure ili apishwe mbunge Festo Sanga kufanya shopping

Nimefukuzwa kwenye duka la Kene Beibure ili apishwe mbunge Festo Sanga kufanya shopping

Litakuwa duka la nyota 5, plus na mambo ya asili si unajua watanzania wenzetu hao hata Kama ujapanga kwenda dukani unaweza jikuta umeenda tu
Yaap anajiamini!anajua mtaenda tu
 
Hiyo royal service yao ndiyo iliyokuponza bloangu,pole sana,wewe sio Royal kwao,umejipendekeza tu kwenda kufanya shopping pale, kwani hujasoma kipeperushi chao??
 
Na zile benki 2 za pale bungeni kwao wangekuwa wanafanya upuuzi kama huo, tungewasusia.
 
Shame on me. Juzi nilipata mwaliko na catalogue ya duka la KENE BEI BURE nikaona suti fulani na nguo fulani nzuri sana. Nikawapigia simu kwamba leo Ijumaa saa nne asubuhi nitaenda kulipia.

Lèo nimeenda, saa nne kamili kuchukua mzigo wangu. Nikaingia kwenye shelves, nikachagua nguo nizitakazo.

Nikiwa kwenye dawati la malipo, ndipo akaja supervisor na kuniambia sitakiwi kununua chochote hadi mbunge Festo Sanga anunue kwanza.

Huu ni upumbavu namba moja kwenye ulimwengu wa biashara na soko huria.

View attachment 2773410View attachment 2773412View attachment 2773413
BillLugano aka KIDUKULILO atakuja kukueleza alicho kifanya kwa muuza samaki mmoja pale FERRY.
 
We hujitambui, mbunge ni huko kwa wapiga kura wake, alafu wabunge wenyewe wa CCM, elimu hawana, akili hawana, wazinzi tu hao na wabinafsi, huyo juzi tu mange Kam expose umalaya wake, hawa ni watu nchi zingine wananchi wanawafukuza au kumalizana nao kabisa. Hawa wanafuja pesa za umma kufanya umalaya ,huku familia za wengine zinateseka huku wao wanatibiwa nje.
Kwanza ubunge ni kujua kusoma na kuandika tu.
 
Back
Top Bottom