Nimefukuzwa kwenye duka la Kene Beibure ili apishwe mbunge Festo Sanga kufanya shopping

Umeamua na kuwatangazia biashara Yao Bure! Pole sana tafuta Hela ulizonazo haitoshi[emoji2][emoji2][emoji2]
Huyu atakuwa ni marketer kwenye hilo duka.
Jina tu ni BEI BURE 😂
 
Wamezingua sana!wamemvunjia sana heshima Tajiri mkuu wa Matajiri
Sema tu huyo TAJIRI MKUU WA MATAJIRI anavinjari na hela ya urithi, ingekuwa hiyo hela ya utajiri wake ameitolea jasho asingekubali udharirishaji huo
 
Wasengelema nini hao me ningeanzisha mtiti siondoki hata sikumoja wangejuta kusema hivyo
 
Shame on me. Juzi nilipata mwaliko na catalogue ya duka la KENE BEI BURE nikaona suti fulani na nguo fulani nzuri sana. Nikawapigia simu kwamba leo Ijumaa saa nne asubuhi nitaenda kulipia.

Lèo nimeenda, saa nne kamili kuchukua mzigo wangu. Nikaingia kwenye shelves, nikachagua nguo nizitakazo.

Nikiwa kwenye dawati la malipo, ndipo akaja supervisor na kuniambia sitakiwi kununua chochote hadi mbunge Festo Sanga anunue kwanza.

Huu ni upumbavu namba moja kwenye ulimwengu wa biashara na soko huria.

View attachment 2773410View attachment 2773412View attachment 2773413
Bora hata Vunja bei tunamjuwa, huyu unayempromote duka lake ndio lipi?
 
Shame on me. Juzi nilipata mwaliko na catalogue ya duka la KENE BEI BURE nikaona suti fulani na nguo fulani nzuri sana. Nikawapigia simu kwamba leo Ijumaa saa nne asubuhi nitaenda kulipia.

Lèo nimeenda, saa nne kamili kuchukua mzigo wangu. Nikaingia kwenye shelves, nikachagua nguo nizitakazo.

Nikiwa kwenye dawati la malipo, ndipo akaja supervisor na kuniambia sitakiwi kununua chochote hadi mbunge Festo Sanga anunue kwanza.

Huu ni upumbavu namba moja kwenye ulimwengu wa biashara na soko huria.

View attachment 2773410View attachment 2773412View attachment 2773413

😂😂😂😂🤣🤣🤣 NIMEANZA KWA KUCHEKA ILA SIO KWA DHARAU WALA KEJELI.....

Hili andiko lako limenikumbusha miaka kadhaa huko nyuma kipindi DAVID BECKHAM akiwa anakipiga Kweli Kweli man u.....

Alienda shopping Moja MAREKANI mle ndani alikuepo BIRDMAN 🐦 Huyu NDIO mwenye music 🎵🎶 Label ya CASH MONEY 🤑 (YMCMB) Ile ya kina Lil Wayne na dada machachari NICK MINAJ....

So na yeye akakumbwa na kadhia ya kutolewa nje kwenye shopping mall Ili kumpisha DAVID BECKHAM alicho kifanya ni kuuliza gharama zote za kununua Kila kitu mule ndani na alifanya ivyo na alipo toka akaenda kutunga wimbo.....😂😂🤣🤣

Akatoa wimbo WHO? IS BECKHAM

Mkuu izo mambo zipo sana hapa Duniani.....
 
Shame on me. Juzi nilipata mwaliko na catalogue ya duka la KENE BEI BURE nikaona suti fulani na nguo fulani nzuri sana. Nikawapigia simu kwamba leo Ijumaa saa nne asubuhi nitaenda kulipia.

Lèo nimeenda, saa nne kamili kuchukua mzigo wangu. Nikaingia kwenye shelves, nikachagua nguo nizitakazo.

Nikiwa kwenye dawati la malipo, ndipo akaja supervisor na kuniambia sitakiwi kununua chochote hadi mbunge Festo Sanga anunue kwanza.

Huu ni upumbavu namba moja kwenye ulimwengu wa biashara na soko huria.

View attachment 2773410View attachment 2773412View attachment 2773413
...Kweli Kabisa....shame on You [emoji35] !!
 
Watu watakutendea kutokana na vile wanavyoiona thamani yako, inabidi utafute wapi unathaminiwa uende huko.
 
Pesa ninazo la kusomba hata duka zima, nilienda tu kumuunnga mkono Mkinga mwenzangu, ni wao walionialika nikanunue kwao na walinipa catalogue [emoji415] book yao
...Basi Mkinga Mwenzio, Mshamba! Anapapatikia Mbunge kwenye Dunia hii ya Ushindani ????
 
Mkuu kama duka langu siku nzima nauza 1m halafu ukasema funga duka nanunua mzigo wa 10m kwa raha zangu Walahi na mlo nakuagizia kabisa na barabara nafunga kabisa [emoji1] [emoji1787]
...Halafu wanunuaki wako wa Kawaida wasuse kuanzia kesho yake....utakuwa hizo Milioni Kumi ?
Akikumbia ananinua mzigo wa Milioni Kumi halafu vitu hakuvipenda akanunua mzigo wa milioni tatu TU, utamdai ??? Mmeandikishiana ???
 
Back
Top Bottom