Nimefukuzwa kwenye duka la Kene Beibure ili apishwe mbunge Festo Sanga kufanya shopping

Nimefukuzwa kwenye duka la Kene Beibure ili apishwe mbunge Festo Sanga kufanya shopping

...Halafu wanunuaki wako wa Kawaida wasuse kuanzia kesho yake....utakuwa hizo Milioni Kumi ?
Akikumbia ananinua mzigo wa Milioni Kumi halafu vitu hakuvipenda akanunua mzigo wa milioni tatu TU, utamdai ??? Mmeandikishiana ???
Hayo ni mawazo yako unavyopanga wewe lakini mimi nae naota kuwa amenunua duka lote na nimeendea mzigo mwingine
Wateja nimewapa kilo moja moja ya sukari kama wanavyopewa kofia na t-shirt wanavyofurahia

Kwa Africa bakhshishi kidogo tu mambo yanaenda
Ila usiwaze sana ni jokes hizi
 
Ur right [emoji106]
Kuna vitu vinaumiza sana,ni ukatili wa kihisia kabisa, haiwezekani mtu mzima na akili zake akufuate kwenye biashara Yako wewe Kwa kumtukuza mwingine umwambie huna Haki ya kununua mpaka sijui nani anunue,Mbona Kuna wauza suti wengi tu mjini,alienda kumsupport yeye ila kibaya zaidi hajathamini.
Hakika mkuu wangu [emoji106]
 
Shame on me. Juzi nilipata mwaliko na catalogue ya duka la KENE BEI BURE nikaona suti fulani na nguo fulani nzuri sana. Nikawapigia simu kwamba leo Ijumaa saa nne asubuhi nitaenda kulipia.

Lèo nimeenda, saa nne kamili kuchukua mzigo wangu. Nikaingia kwenye shelves, nikachagua nguo nizitakazo.

Nikiwa kwenye dawati la malipo, ndipo akaja supervisor na kuniambia sitakiwi kununua chochote hadi mbunge Festo Sanga anunue kwanza.

Huu ni upumbavu namba moja kwenye ulimwengu wa biashara na soko huria.

View attachment 2773410View attachment 2773412View attachment 2773413
Lipia tangazo
 
Haya ni malalamiko dhidi ya kufanywa "Second Class Citizen" ndani ya nchi yako mwenyewe au ni TANGAZO LA BIASHARA?! Kama issue ni malalamiko, kulikuwa na sababu zipi za kuweka posters zote hizo?! Unatuwekea hadi "About Company", motto, na products halafu unataka kusema ni malalamiko?!

Smart move though because majority bought it but on my side, NAH! I ain't buy it. Nirudishie pesa zangu kwa kweli manake nafahamu though ni kama umeleta negativity but there is no such thing as bad publicity.
 
Back
Top Bottom