Nimefukuzwa kwenye duka la Kene Beibure ili apishwe mbunge Festo Sanga kufanya shopping

Nimefukuzwa kwenye duka la Kene Beibure ili apishwe mbunge Festo Sanga kufanya shopping

Kwanini ulikubali ?!! [emoji15][emoji1787]

Hivi thamani yenu kubwa ya URAIA WA TANZANIA mtatembea nayo kuanzia lini ?!!! [emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]
 
Sema tu huyo TAJIRI MKUU WA MATAJIRI anavinjari na hela ya urithi, ingekuwa hiyo hela ya utajiri wake ameitolea jasho asingekubali udharirishaji huo
Yaani Tajiri alitakiwa mshikishe Adabu huyo fisadi on making,,Angenunua duka Zima ghafla😁
 
Nakumbuka tushawahi kufungwq pingu halafu tukawekwa store kumpisha rais mstaafu afanye manunuzi kwenye mall Moja maarufu mpaka alipoondoka tukaombwa radhi kwa usumbufu uliojitokeza kwa sababu za kiusalama
 
Point....

Ubaguzi ni mbaya ukifanywa na yeyote awaye....

Uonevu ni mbaya ukifanywa na yeyote awaye.....
Ur right 👍
Kuna vitu vinaumiza sana,ni ukatili wa kihisia kabisa, haiwezekani mtu mzima na akili zake akufuate kwenye biashara Yako wewe Kwa kumtukuza mwingine umwambie huna Haki ya kununua mpaka sijui nani anunue,Mbona Kuna wauza suti wengi tu mjini,alienda kumsupport yeye ila kibaya zaidi hajathamini.
 
Shame on me. Juzi nilipata mwaliko na catalogue ya duka la KENE BEI BURE nikaona suti fulani na nguo fulani nzuri sana. Nikawapigia simu kwamba leo Ijumaa saa nne asubuhi nitaenda kulipia.

Lèo nimeenda, saa nne kamili kuchukua mzigo wangu. Nikaingia kwenye shelves, nikachagua nguo nizitakazo.

Nikiwa kwenye dawati la malipo, ndipo akaja supervisor na kuniambia sitakiwi kununua chochote hadi mbunge Festo Sanga anunue kwanza.

Huu ni upumbavu namba moja kwenye ulimwengu wa biashara na soko huria.

View attachment 2773410View attachment 2773412View attachment 2773413
Hawa ndio viongozi wanaojiona ni miungu watu nchini
 
Nakumbuka tushawahi kufungwq pingu halafu tukawekwa store kumpisha rais mstaafu afanye manunuzi kwenye mall Moja maarufu mpaka alipoondoka tukaombwa radhi kwa usumbufu uliojitokeza kwa sababu za kiusalama
Hapa hapa Tanzania?
 
Kuna wale wateja kila mzigo mpya ukiingia lazima anunue kwa wingi. Kuwatunza wateja wa hivyo ni gharama. Halafu kumbuka huyo ni mbunge, anazungukwa na wavaa suti wenzake. Akivaa akapendeza tayari anaweza kivutia wenzake zaidi ya kumi. Kwa hiyo kumuacha achague kwanza yeye ni namna ya kutaka kumridhisha tu.
...Unababaikia Watu, Mkuu ! Kama duka lako ni Zuri wataingia TU Watu, Wabunge na Watu wa Kawaida. Hela wanayotumia ni Ile Bongo Money !
Usiwatenganishe Wateja wako Kwa Ukwasi Wao...
 
...Unababaikia Watu, Mkuu ! Kama duka lako ni Zuri wataingia TU Watu, Wabunge na Watu wa Kawaida. Hela wanayotumia ni Ile Bongo Money !
Usiwatenganishe Wateja wako Kwa Ukwasi Wao...
Kwenye biashara wateja wana madaraja, ni jukumu la mfanyabiashara kuamua anataka kuhudumia wateja wa daraja lipi. Hata lambalamba za ukwaju zipo za matajiri na zipo pia kwa ajili ya akina kajamba nani
 
Shame on me. Juzi nilipata mwaliko na catalogue ya duka la KENE BEI BURE nikaona suti fulani na nguo fulani nzuri sana. Nikawapigia simu kwamba leo Ijumaa saa nne asubuhi nitaenda kulipia.

Lèo nimeenda, saa nne kamili kuchukua mzigo wangu. Nikaingia kwenye shelves, nikachagua nguo nizitakazo.

Nikiwa kwenye dawati la malipo, ndipo akaja supervisor na kuniambia sitakiwi kununua chochote hadi mbunge Festo Sanga anunue kwanza.

Huu ni upumbavu namba moja kwenye ulimwengu wa biashara na soko huria.

View attachment 2773410View attachment 2773412View attachment 2773413
Ungelalamika.....maanA mteja ni mfalme
 
Deo Sanga ni mbunge wa ......makambako...ni tajiri wa misukule njombe huko .....tajiri ana fuso za kutosha ......makambako .....ni mkata mauno mzuri sana kushabikia mambo kipuuzi sanss....bungeni hana aibu kabisaaa
 
Back
Top Bottom