Nimefukuzwa kwenye sherehe ya kipaimara kisa mimi ni muislamu

Sasa hayo uliyo yaandika yana mahusiano gani na mada ?
Au na ww ni mkosefu wa akili kama mleta mada?
 
Yaani mtu akualike mwenyewe,then akufukuze?labda Kuna namna ulileta shida,so wakaona ni Bora uende TU nyumbani,kumbuka nchii hii Kuna vitu vitatu ukiviendea vibaya lazima wakuue,SIASA(CCM),SIMBA NA YANGA na DINI!!!
 
Unalaani hiyo chai aliyoleta huyu jamaa?
 
Kila kitu kinacho tokea katika maisha Yako nisehem ya mafundisho hivyo yahitaji utafakari Kwa kina ili sikunyingine USI jichanganye natumai misingi ya hekima unaifahamu ndugu
 
Waislam huwa mnaubaguzi
SWALI
Kwanini waislamu mkikuta mkristo kachinja either mbuzi au ng'ombe huwa mnasusia kula
 
Amefanya vzr sna kukutimua wangekupiga kbsa makofi ndio useme ni lini sis unaingia msikiti yenu
 
Acha uchonganishi tz hatujafikia huko,, utafaid nn tukianza mikwaruzano kati ya wakristo na waisilamu? Alye kupa kadi si ndo mwenye sherehe? Huyu aliyekuzuia ni mlinzi au ni huyo huyo aliyekupa kadi? Kama ulizuiwa na mtu mwingine ulichukua hatua kumpigia mwenye shereh kumtaarifu dhidi ya wajakazi wake wanaokuzuia usiingie ndan kugonga pilau,na nyama za kukaanga na kuku?
 
Namuona ustaadh ITR anakomenti kwa upendo zaidi, hana munkari
 
Maswali:
1.Je, aliyekupa kadi ndiye aliyekufukuza?
Kama sio yeye, je, kwanini alikupa kadi huku anajua tabia za wakristo wa huko?
2. Kulikuwa na alama kwa wageni wote ambazo zinatambulisha dini yao?
3. Kwa maelezo yako sherehe ilifanyika ukumbini, maana yake totally controller wa sherehe ni huyo aliyekualika, ni nani tena mwingine alikuwa na nguvu kuliko mwenye sherehe?
 
. Huo ni uongo, wakristo hatuna huo ukritimba...


. Yawezekana ulikuwa umevaa sare/dera/gauni/kazu na kikofia juu, maana huwa hamchelewi kila sehemu utakayofika Haijalishi upo eneo gani ni mwendo wa SALAM WALEKHO.
Ahahahahh 🀣 🀣 🀣
Na kwenye gauni jeupe alificha kakiazi /kabomu
 
Wenyewe kwa wenyewe wanabaguana, ndio wakuache wewe yakhe?
β›οΈπŸ”¨πŸ“’πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Sasa hayo uliyo yaandika yana mahusiano gani na mada ?
Au na ww ni mkosefu wa akili kama mleta mada?
hayana uhusiano na mada ila ni kuonesha tu kunako sherehe ya maakuli hakuna ubaguzi wa dini
 
Ndugu Zangu Katika Imani
Tungoje Maulid Ya Kuzaliwa Mudi Tutapiga Ubeche Hapa Temeke Mikoroshini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…