Nimefukuzwa kwenye sherehe ya kipaimara kisa mimi ni muislamu

Inaonekana umezaliwa muislamu ila uislamu huna, dini hizo mbili haziingiliani kwenye Ibada, na ndo maana wewe kutokuelewa dini Yako kukakufanya uende huko, je kwa mujibu wa dini Yako hayo wanayofanya kwenye kipaimara ni Sahihi?
 
Ulitaka waislamu wenzio waje hapa kuku laani kwa kuhudhuria sherehe za wa kristo πŸ™„ kwani ujui kuwa hata shoga kiislamu liki dinywa na mkristo waislamu ulalama hapa jf ..kwanini shoga letu limedinya na makafiri wakati sisi waislamu tupo ....kumbuka ya harmonize majuzi...watasema wakristo mnatuchokoza kwa kutuchukulia choko letu la kiislamu.
 
Ungesubiri ualikwe, ila waliokufukuza nao wana makosa, wangekuacha tu upige msosi uondoke. Na kama ni njaa ilikupeleka!
 
Kama Wewe ulivyodinywa salamander tower karibu na ofisi za GSM
 
Wamekuokoa maana ni haram kuhudhuria sehemu hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…