ID yako Ujinga mtupu ila una akili sana😃Aisee...
Nakuomba panda daladala hapo nkuhungu ingia Town jichanganye saba saba Mungu atafungua milango tu.
Kaka Uaminifu umepungua kwa sasa usitafute kupewa hifadhi kiurahisi rahisi hivyo so pambana kaka.
Kama utaona umeshindwa naomba urudi dar mapema
Ndio ukweli huo.Naona jamaa wako kakufukuza kijanja usikute hata mwanamke hatokaa nae katafuta njia ya kukutoa hapo geto
Niliwahi karibisha jamaa yangu akae siku tatu tukiwa chuo akakaa miezi mitatu na point. Sikuwa na mambo mengi na tuliendana vitu vingi basi alikaa mpaka alipoamua kuondoka. Inaleta changamoto ukikaa na mtu mko tofauti sana na bado unapenda uhuru wakoNaona jamaa wako kakufukuza kijanja usikute hata mwanamke hatokaa nae katafuta njia ya kukutoa hapo geto