Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Hiyo vita ulio ianzisha, ukipigwa usiniite nikusaidie tena...š¤£Naomba nijibiwe #15
Ilikuwaje waislamu wakawa werevu wa kuuelewa mkataba wa DPW kuliko Tec na wakristo wote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo vita ulio ianzisha, ukipigwa usiniite nikusaidie tena...š¤£Naomba nijibiwe #15
Ilikuwaje waislamu wakawa werevu wa kuuelewa mkataba wa DPW kuliko Tec na wakristo wote?
Wa kurusha manati na mshale yupo lkn wa kunipiga hajazaliwaHiyo vita ulio ianzisha, ukipigwa usiniite nikusaidie tena...š¤£
Mkubwa hufukuzwa na wakubwa wenzakeHawana adabu hao, wanaanzaje kukufukuza mtu mzima?
Anyway, I wish nikuone tena Mzee wangu, Nakumbuka nilikuona mara ya Kwanza na ya mwisho pale Chamazi Islamic, around 2009 hivi....Nilienjoy lecture yako Ile siku.
Ohooooo...šMkubwa hufukuzwa na wakubwa wenzake
1. Umedai ni fununu, hun hakika, ngumu kuzungumzia fununu kitu ambacho hakipo, ngoja kiwepo kizungumziwe.1. Msikiti una uhusiano sana na DPW, kuna fununu kuwa watajenga msikiti mkubwa sana Mbeya, hii imekaaje?
2. Ni ajabu sana karibu waislam wote wameuelewa mkataba wa bandari kuliko wanasheria...hii imekaaje?
3. Masheikhe wengi wametoa matamshi tata ya kuwakemea na kuwakejeli TEC waliochagua kulinda maslahi ya nchi...hii nayo imekasje?
Kuna HARUFU YA UDINI ULIOJIFICHA CHINI YA DPW.
Nikwambie tu, moto huwezi kufunikwa na kipande cha khanga mzee Mohamed, tusubiri, tuombe uzima
Damu ya Yesu haitishwi na albadir ya kumwaga damu ya kuku.Ohooooo...š
Atakusomea alubadili....š
Umenijibu vyema.1. Umedai ni fununu, hun hakika, ngumu kuzungumzia fununu kitu ambacho hakipo, ngoja kiwepo kizungumziwe.
2. Umesema waislam WOTE, mbona mimi ni muislam lakini naona kabisa hapa sisi WATANGANYIKA tunapigwa n kitu kizito.
3. Umesema masheikhe wengi wamekemea TEC.
sio kila Sheikh awe kaongoka wengine ni wachumia tumbo tu, wanaishi kwa mgongo wa dini ila mioyoni di waumini wa kweli.
Mtume alisema JIHADI kubwa kabisa ni baina ya mtu na nafsi yake, wengi nafsi zimetushinda kwenye UGALI, tuko radhi tufanye lolote ikiwemo kuvunja haki, kudhulumu na kadhalika mradi yetu yaende.
Amini ninachokwambia wengi wa hao masheikh hawajui kitu na wachache wanaojua wameamua kuwa uoande wa serikali kwa manufaa yao.
Hilo moja pili kubwa kabisa... Nahisi serikali baada ya kuona upande wa haswa wakristo wengi kupinga, wakaamua watumie waislam ili kuleta msawazo jambo lao liende
Kuna sheikh mmoja alikuwa anauchambua ule mkataba, jindi gani si sahihi, aliletwa mpaka humu jf, kuna mdau akasema kumbe kuna waislam wana akili.. niliishia kucheka tu
Ipo siku watatufarakanisha kisa udini ili yao yasonge.
Naomba nijibiwe #15
Ilikuwaje waislamu wakawa werevu wa kuuelewa mkataba wa DPW kuliko Tec na wakristo wote?
Nisaidie mkuu"Ni ajabu sana karibu waislam wote wameuelewa mkataba wa bandari kuliko wanasheria...hii imekaaje?".
Ili swali lianzishie uzi kabisa. Inafikirisha sana aisee.
Unafikiti kwanini wanaonewa?Waislam wanaonewa sana duniani
Nimefurahi mzee wetu amekuja kupumua jf nyumba ya makimbilio baada ya kupata kibano toka kundi sogoziššMzee Mohamed Said, usijali JamiiForums ndiyo chombo cha habari kikubwa hapa Tanzania.
Glenn,1. Msikiti una uhusiano sana na DPW, kuna fununu kuwa watajenga msikiti mkubwa sana Mbeya, hii imekaaje?
2. Ni ajabu sana karibu waislam wote wameuelewa mkataba wa bandari kuliko wanasheria...hii imekaaje? (PAMOJA NA ELIMU YA MASHEIKH NI TIA MAJI TIA MAJI LKN MKATABA WAMEUELEWA KWA HARAKA SANAA)
3. Masheikhe wengi wametoa matamshi tata ya kuwakemea na kuwakejeli TEC waliochagua kulinda maslahi ya nchi...hii nayo imekaaje?
Kuna HARUFU YA UDINI ULIOJIFICHA CHINI YA DPW.
Nikwambie tu, moto huwezi kufunikwa na kipande cha khanga mzee Mohamed, tusubiri, tuombe uzima
Glenn,Nimefurahi mzee wetu amekuja kupumua jf nyumba ya makimbilio baada ya kupata kibano toka kundi sogozišš
Nilichojifunza, ni kuwa baadhi ya Watanzania wenzetu hawapendi kusikia ukweli. Na ukizungumza ukweli sana, unakuwa adui wao!,Video hii ipo hapa.
Itazame halafu jiulize kweli watu hawa walikuwapo au ni hadithi anazotunga Mohamed Said?
Glenn,1. Msikiti una uhusiano sana na DPW, kuna fununu kuwa watajenga msikiti mkubwa sana Mbeya, hii imekaaje?
2. Ni ajabu sana karibu waislam wote wameuelewa mkataba wa bandari kuliko wanasheria...hii imekaaje? (PAMOJA NA ELIMU YA MASHEIKH NI TIA MAJI TIA MAJI LKN MKATABA WAMEUELEWA KWA HARAKA SANAA)
3. Masheikhe wengi wametoa matamshi tata ya kuwakemea na kuwakejeli TEC waliochagua kulinda maslahi ya nchi...hii nayo imekaaje?
Kuna HARUFU YA UDINI ULIOJIFICHA CHINI YA DPW.
Nikwambie tu, moto huwezi kufunikwa na kipande cha khanga mzee Mohamed, tusubiri, tuombe uzima
ni kwa sababu hakuna Maheikh wanao amini Mungu aliye kuwa nakunya1. Msikiti una uhusiano sana na DPW, kuna fununu kuwa watajenga msikiti mkubwa sana Mbeya, hii imekaaje?