Nimefukuzwa tena kundini

Nimefukuzwa tena kundini

Hawana adabu hao, wanaanzaje kukufukuza mtu mzima?

Anyway, I wish nikuone tena Mzee wangu, Nakumbuka nilikuona mara ya Kwanza na ya mwisho pale Chamazi Islamic, around 2009 hivi....Nilienjoy lecture yako Ile siku.
 
1. Msikiti una uhusiano sana na DPW, kuna fununu kuwa watajenga msikiti mkubwa sana Mbeya, hii imekaaje?

2. Ni ajabu sana karibu waislam wote wameuelewa mkataba wa bandari kuliko wanasheria...hii imekaaje?

3. Masheikhe wengi wametoa matamshi tata ya kuwakemea na kuwakejeli TEC waliochagua kulinda maslahi ya nchi...hii nayo imekasje?

Kuna HARUFU YA UDINI ULIOJIFICHA CHINI YA DPW.

Nikwambie tu, moto huwezi kufunikwa na kipande cha khanga mzee Mohamed, tusubiri, tuombe uzima
1. Umedai ni fununu, hun hakika, ngumu kuzungumzia fununu kitu ambacho hakipo, ngoja kiwepo kizungumziwe.

2. Umesema waislam WOTE, mbona mimi ni muislam lakini naona kabisa hapa sisi WATANGANYIKA tunapigwa n kitu kizito.

3. Umesema masheikhe wengi wamekemea TEC.
sio kila Sheikh awe kaongoka wengine ni wachumia tumbo tu, wanaishi kwa mgongo wa dini ila mioyoni di waumini wa kweli.
Mtume alisema JIHADI kubwa kabisa ni baina ya mtu na nafsi yake, wengi nafsi zimetushinda kwenye UGALI, tuko radhi tufanye lolote ikiwemo kuvunja haki, kudhulumu na kadhalika mradi yetu yaende.

Amini ninachokwambia wengi wa hao masheikh hawajui kitu na wachache wanaojua wameamua kuwa uoande wa serikali kwa manufaa yao.
Hilo moja pili kubwa kabisa... Nahisi serikali baada ya kuona upande wa haswa wakristo wengi kupinga, wakaamua watumie waislam ili kuleta msawazo jambo lao liende

Kuna sheikh mmoja alikuwa anauchambua ule mkataba, jindi gani si sahihi, aliletwa mpaka humu jf, kuna mdau akasema kumbe kuna waislam wana akili.. niliishia kucheka tu

Ipo siku watatufarakanisha kisa udini ili yao yasonge.
 
Umenijibu vyema.

Nakiri wewe una MAHAKAMA ILIYO HURU NDANI MWAKO.

Usichukulie poa hayošŸ‘†šŸ‘†hayo maandishi ya herufi kubwa.

Nakurekebisha kidogo...nilisema waislam karibu wote, nikimaanisha wapo wachache wanapinga dpw
 
1. Msikiti una uhusiano sana na DPW, kuna fununu kuwa watajenga msikiti mkubwa sana Mbeya, hii imekaaje?

2. Ni ajabu sana karibu waislam wote wameuelewa mkataba wa bandari kuliko wanasheria...hii imekaaje? (PAMOJA NA ELIMU YA MASHEIKH NI TIA MAJI TIA MAJI LKN MKATABA WAMEUELEWA KWA HARAKA SANAA)

3. Masheikhe wengi wametoa matamshi tata ya kuwakemea na kuwakejeli TEC waliochagua kulinda maslahi ya nchi...hii nayo imekaaje?

Kuna HARUFU YA UDINI ULIOJIFICHA CHINI YA DPW.

Nikwambie tu, moto huwezi kufunikwa na kipande cha khanga mzee Mohamed, tusubiri, tuombe uzima
Glenn,
Kwa nini unaniuliza mimi habari ya bandari?
 
Nimefurahi mzee wetu amekuja kupumua jf nyumba ya makimbilio baada ya kupata kibano toka kundi sogozišŸ˜‚šŸ˜‚
Glenn,
Nimefukuzwa sikupata kibano.
Kibano wamekipata wao.

Niliweka video za vipindi nilivyofanya na AZAM, TBC na vituo vingine namzungumza Mwalimu Nyerere.

Video ya mwisho namweleza Earle Seaton na Abdul Sykes 1950 na mikakati ya UNO.

Video hii ipo hapa.

Itazame halafu jiulize kweli watu hawa walikuwapo au ni hadithi anazotunga Mohamed Said?
 
Nilichojifunza, ni kuwa baadhi ya Watanzania wenzetu hawapendi kusikia ukweli. Na ukizungumza ukweli sana, unakuwa adui wao!,

Hili pia linajitokeza kwa viongozi wetu, hawataki kusikia ukweli zaidi ya kusifiwa na kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa, hapo na cheo kitapanda.
 
1. Msikiti una uhusiano sana na DPW, kuna fununu kuwa watajenga msikiti mkubwa sana Mbeya, hii imekaaje?

2. Ni ajabu sana karibu waislam wote wameuelewa mkataba wa bandari kuliko wanasheria...hii imekaaje? (PAMOJA NA ELIMU YA MASHEIKH NI TIA MAJI TIA MAJI LKN MKATABA WAMEUELEWA KWA HARAKA SANAA)

3. Masheikhe wengi wametoa matamshi tata ya kuwakemea na kuwakejeli TEC waliochagua kulinda maslahi ya nchi...hii nayo imekaaje?

Kuna HARUFU YA UDINI ULIOJIFICHA CHINI YA DPW.

Nikwambie tu, moto huwezi kufunikwa na kipande cha khanga mzee Mohamed, tusubiri, tuombe uzima
Glenn,
Kwa nini unanilazimisha nikujibu?
Nina umuhimu upi kwako?

Huu ni uwanja huru sote tunajadiliana.
Hatutishani wala kupeana "ultimatum," hapa.
 
1. Msikiti una uhusiano sana na DPW, kuna fununu kuwa watajenga msikiti mkubwa sana Mbeya, hii imekaaje?

2. Ni ajabu sana karibu waislam wote wameuelewa mkataba wa bandari kuliko wanasheria...hii imekaaje? (PAMOJA NA ELIMU YA MASHEIKH NI TIA MAJI TIA MAJI LKN MKATABA WAMEUELEWA KWA HARAKA SANAA)

3. Masheikhe wengi wametoa matamshi tata ya kuwakemea na kuwakejeli TEC waliochagua kulinda maslahi ya nchi...hii nayo imekaaje?

Kuna HARUFU YA UDINI ULIOJIFICHA CHINI YA DPW.

Nikwambie tu, moto huwezi kufunikwa na kipande cha khanga mzee Mohamed, tusubiri, tuombe uzima
ni kwa sababu hakuna Maheikh wanao amini Mungu aliye kuwa nakunya
 
Back
Top Bottom