Nimefurahi Diamond kukosa tuzo

Unatoa mifano ya akina Justin Timberlake vipi ungetumia mifano ya akina Rick Ross and the likes, kwa kifupi majority ya celebrities wana hulka ya showoff hivi hiyo trend hata Sadala ameikuta na ataiacha. It's part of the game whether you like it or not, mfano wa Mo ni wa kipumbavu kabisa kwani yeye si msanii.
Showoff unazoona ona ni ushamba yeye ndiyo strategy yake na inamlipa hivyo kama ataiacha kwa sababu ya kelele za haters ndiyo itakuwa ni ushamba, aendelee kuwa focused na kuamini strategy na instincts zake kwani ndiyo vimemumfikisha alipo sasa mpaka watu wanaojifanya intellectuals wihangaika kumosoa na kutamani aporomoke kisanaa wanamfanya topic kwa kupoteza muda wao wakimjadili huku mioyo yao imejaa chuki dhidi yake.
 


Boy, uko sawa sana kwenye haya maelezo. Fif kwenye live interviews always anakwambia I've got money. Chris Rock sio mwimbaji lakini stand up set zake anasema I'm very rich. Sasa huyo Samuel L. Jackson ndio achana nae kabisa yule babu. Yeye anasema kabisa, I made $35 million this year and don't give a damn f what people say.

Kitu watu wasichoelewa ni kwamba, from zero zero point zero till you make bags of money, why not shouting? Why not showing off? It's inspiration for me. I could do the same too. Like telling your people look at what I did. You can do it too. But brothers get jealous instead.
 
Reactions: Qwy
Unampa pole mwakilishi wa Africa Mashariki na kati huko BET ahahahahah ila team Kibakuli ni tatizo ahahahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kavaaa km mlinzi wa sungu sungu na bado akakalishwa,
 
Hao ni team Kibakuli wana hasira maana Ata tuzo za Zumari hawapo ahahahahha haha

Ulitaka avae kanzu kama kibakuli ahahahhahah yule sio imamu wa msikiti , masai ni waafrika wenzetu hakuna tatizo
Ila yule mlinzi wa sungu sungu, alikua abashangaa pale Red carpet, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Mama dangote akapewa za uso mchan kweupeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna wa kumsumbua mama Dangote, yule ni mama Staa aswa ndio maana mnakesha kwenye page zake ahahahahaha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kavaaa km mlinzi wa sungu sungu na bado akakalishwa,
Lile Vazi la kiafrica, na zile ni tuzo za watu weusi, ulitaka avae kanzu kama kibakuli ahahahhahah
 
Hakuna wa kumsumbua mama Dangote, yule ni mama Staa aswa ndio maana mnakesha kwenye page zake ahahahahaha
Mie nikeshe kwenye page yake nigundue nn? Ile siku nlikuta post yake nkasoma comments ndo nkaona makavu yanavoshushwa na wana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lile Vazi la kiafrica, na zile ni tuzo za watu weusi, ulitaka avae kanzu kama kibakuli ahahahhahah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alivaa km mmasai, na akashindwa kuwinda tuzo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maumivu hayajakwisha tyuuh? Au upewe dawa 3
Maumivu gani tena team Kibakuli mwaka huu mtapata uchizi, watu wako US wanaendelea na maandalizi ya Albam ya dunia ahahahahha
 
Mie nikeshe kwenye page yake nigundue nn? Ile siku nlikuta post yake nkasoma comments ndo nkaona makavu yanavoshushwa na wana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani wewe ulete humu habari ya mama dangote halafu unatuuliza sisi ukeshe ugundue nini? ahahahha kati ya wewe na mama Dangote nani anaangaika na mwenzie? ahahaha mashabiki wa Kibakuli ahahaha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wazungu hawana time na ulinzi shirikishi, kwani sadala hakua anajua hilo?
Wazungu ndio wamemnominate, au ulijua wana shida na kanzu za Kibakuli ahahahhahah ah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…